nchonga aliyebaki
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 588
- 1,050
Unataka kusemaje Mbwa Mwitu na Mwaipopo Shekhe sio Mchungaji wa Kondoo wala Padriu?Nasikia kundi la Mwaipipo wamepewa pesa nyingi sana na Waziri
Hafi mtu mazeeHapo ndani yetu macho,mmoja asipouwawa basi
Hata viti wamebadilisha kuogopa kuwekeana sumu kwenye mkutano
Kavideo tafadhariMakamu kakikwepa kiaina
Mkuu mbona hapo bado mpaka watajane nani alitoa amri ileHapo ndani yetu macho,mmoja asipouwawa basi
Hata viti wamebadilisha kuogopa kuwekeana sumu kwenye mkutano
Mshindi hapo ni Yuda, yeye anawaangalia tu.Hapo ndani yetu macho,mmoja asipouwawa basi
Hata viti wamebadilisha kuogopa kuwekeana sumu kwenye mkutano
Iwapo ukoo ni wa panya mwasisi wa ukoo hawezi kabidhi kijiti kwa pala ama wow wow,hivyo hata kijiti lazima kirudi kwa ukoo wa panya.Na kawaida ya huu ukoo kuvunja magala na kujilia vilivyomo ni kawaida sana kwao.Nasikia kundi la Mwaipipo wamepewa pesa nyingi sana na Waziri
Ila nyie manyumbu ni wapumbavu aisee, acha kabisa!!Mungu ni mkali kuliko watesi wetu.
Kazi ni kipimo cha utu
Polepole hawezi kukuambia kila kitu nae alikuwa kwenye siasa zake ndio maana Kuna mambo mengine akidanganya na mengine akieleza juujuu tu sasa jiulize kwanini afanye hivyo?CCM wanacheza na Wapumbavu.
Hakuna cha Yuda wala nani!!!!.
Labda hamkusikiliza Polepole vizuri.
Hao ni Wana Mtandao, Nchimbi alikuwa Front line kumtetea Lowassa 2015.
Kikwete
Samia
Lowassa.
Rostam
Sitta.
Nchimbi
HAWA WOTE NI KUNDI LA CCM MTANDAO.