1. kumbe umezaa na Girl friend, nilifikiri Mke!!
2. Je Girl friend wako anaamini NIni? Usikute mwenzako yuko kukamilisha commitment kwa mungu wake...mchunguze vizuri sana ktk hili, je tabia zake ulizikutaje? mlikutana ktk mazingira gani?
kuna wengi sana ambao ni ma-argent wa shetani ktk ulimwengu, ukiwa unafikiri kuwa ni watu wa kawaida.
jambo lingine, girlfriend wako anaweza kuwa hajui au anajua maana ya hilo jina; ila inawezekena yuko possessed by a spirit inayo-demand jina la Jezebel, just to accomplish a certain mission.
kama wengine walivyotangulia kusema...hilo jina ni miongoni ma majina mabaya sana, yakiwa na direct connection na Ukahaba(HARLOT), pamoja na kuabudu miungu(IDIOLATRY)...Ambao ktk hizi kuna laana (CURSE).
Kama ukimwita mtoto wako hilo jina,...usitegemee kuwa atakuwa a normal, dont expect any good thing kutoka kwake, jiandae pia na wewe kuwa inflicted with spiritial challenges,
kwa sababu " the name invokes spirits(demons) associated with it"
Wana Mmu habarini iam very dissapointed nimezaa na girlfriend wangu ni mnyarwanda anaitwa Yveti wazazi wake mmoja ni,mtanzania ila mama ake ni mnyarwanda na wazazi wake wote wanaishi rwanda(wana biashara zao) nilikutana,nae school of medicine sasa nimezaa,nae cha ajabu wazazi wake wanataka nimuite jina jezebeli mtoto ana siku 14 bado tunazozana maana mimi sitaki hilo jina maana lina mreflect mtu hatari sana kwenye bible ambaye alikua mwanamke katili muuaji anaejipenda for sure sijawai kuona mtu anamuita mwanae jezebel kwa sasa hv tumeamua kumpa jina baby kwa muda hadi tuafikiane ila wao hawataki kuchange mawazo sasa naombeni mnishauri hv ni mindset yangu tu kuhusu jina ama nipo sahihi nikubali hilo jina