" Wananiita Mpinga Kristo"

Si kweli Mwafrika angefata dini KWA usahihi asingekuwa masikini.
Mwafrika afati dini bali anagusa dini,hakuna umasikini kwenye dini
Ili upate utajiri kwenye dini labda uwe mpokea fungu la kumi
 
Inafatana unaenda kanisa gani. Pia bora kutoenda ila ukatenda yale yanayompendeza Mungu kuliko kwenda kufundisha au kujifunza uwongo
Halafu nisipoenda kanisani mnanishangaa
 
Inafatana unaenda kanisa gani. Pia bora kutoenda ila ukatenda yale yanayompendeza Mungu kuliko kwenda kufundisha au kujifunza uwongo
Kikubwa utende wema
 
Hta zile jamii dhalili kabisa zinazodharulika kuja kujenga majengo na kuwa na uchumi mkubwa mfano watu kama wamasai Wana pesa Kwa sasa nayo ni dalili
 
Chagua kanisa la kuingia,mengi ni freemason
Makanisa mengi kuna mbwa mwitu wakali wenye mavazi ya kondoo.
Kuna makanisa maombi yao ni kuchinja wachawi, kuua wachawi, kuchinja maadui sasa nawaza lile neno linalosema Mungu ataandaa Meza mbele ya watesi wangu linatimiaje wakati maadui, watesi wakiwa wameshachinjwa wote?. Nyakati hizi ni za hatari sana, it's either unalijua neno au unakula takataka za hawa charlatan.
 
HAPANA UKISEMA SIWEZI ENDA KANISANI KISA YAMETOKEA MAKANISA YA MANABII NA WACHUNGAJI WA UONGO UTAKUWA MCHANGA KIROHO

Kuomba Ukiwa Nyumbani Pekee Kisa Tu Baadhi Ya Makanisa ya Uongo Yameinuka Hapo Bado Unakuwa Mchanga Kiroho Tena Ukiona KUNA KANISA LA UONGO LINAHUBIRI INJILI YA UONGO UKIWA KAMA SHUJAA WA YESU HAUTAKIWI KUHAMA NDIO LA KULIOMBEA HILO KANISA MPAKA HAO WACHUNGAJI WA UONGO AU MANABII WA UONGO WAANGUKE AU WAOKOKE WAMPOKEE YESU KATIKA KWELI.

UKIWA MKOMAVU KIROHO HUWEZI SEMA NITAKUWA NAOMBA MIMI MWENYEWE TU CHUMBANI MUNGU ATANISIKIA NA UNAACHA KWENDA KANISANI AMBAPO KANISA NI MWILI WA KRISTO KISA MAKANISA YA MANABII WA UONGO HAPO UTAKUWA UNAKOSEA SANA.

USIACHE KWENDA KANISANI DAIMA NA ENDELEA KUTAFUTA KANISA LA KWELI KATIKA KRISTO MANA YAPO MENGI TU.

MARAN ATHA - BWANA WETU ANAKUJA.
 
Mchawi ni SAwa kuuwa,usipomuua mchawi atakuua wewe au mwingine
 
Walaa sihukumu
Kazi ya Roho Mtakatifu kuhukumu ukweli na uongo

Mimi namuamini Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye Hai.

Huyo kristo mnywaji ni chaguo lao hao wsnaomhubiri. Je katika mahubiri hayo lengo ni kukua kiroho au kuhubiri mawazo binafsi?
 
Tokeni mbali mkajitenge nao,uovu una nguvu.
Huwezi mbadilisha shetani
 
Hawaelewi ten commandments zinadumu milele ,Ina badilika mode ya maisha ntaelezea Kwa kina baadaye kuhusu jambo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…