Chagua kanisa la kuingia,mengi ni freemasonHalafu nisipoenda kanisani mnanishangaa.
Sitaenda popote na kama kweli Mungu yupo atanielewa.Chagua kanisa la kuingia,mengi ni freemason
Freemasons sio kanisaChagua kanisa la kuingia,mengi ni freemason
HUYU NI WA KUWEKEWA FWATWAPana wachungaji wasio na uelewa wowote kuhusu maandiko, KWA makusudi wao wameamua kuyapotosha kimakusudi wakitumika yule Muovu. Hawa huduma yao ipo ukonga stakishari wanajiita Grace club, ndio watengenezaji wa bidhaa za Grace sabuni, mafuta, nk.
Wao wanafundisha ya kuwa.
1.Amri kumi za MUNGU ni ushenzi, upotofu, ujinga kuzifuata.
2.Watu wanywe pombe makanisani.
3.Watu wavaae watakavyo kanisa hata uchi SAwa, kama ni mapaja mbona wanakula ya kuku.
Mungu uangalia moyo
4.Hakuna unyakuo
5.Kutoa sadaka, zaka ni wizi
6.
Mafundisho yao mengi ni potoshi
Ni kanisa la upande wa piliFreemasons sio kanisa
Acha ngano na magugu vimee pamojaHUYU NI WA KUWEKEWA FWATWA
Makanisa ya kweli yapo ukiyatafutaSitaenda popote na kama kweli Mungu yupo atanielewa.
Hapana kwa kweliMakanisa ya kweli yapo ukiyatafuta
Hivi nani anawalipa? Kama sh ngapi hivi?Mbele ya pesa aibu wameweka pembeni
Hapa humkomoi Mungu wala Kanisa mkuu, unajikomoa.Sitaenda popote na kama kweli Mungu yupo atanielewa.
Kwamba usipoenda kanisani utaenda motoni? Ni lazima uende kanisani ndo uwe mtu mwema?Hapa humkomoi Mungu wala Kanisa mkuu, unajikomoa.
Mungu yupo. Mbingu ipo. Mwenye masikio na asikie.