Wanangu ngojeni niwape hili....

Ajira za kujitolea trc ni mpaka kipatikane kibali kutoka kwa HR. Ila kwa ajira ya moja kwa moja ni mpaka ukapambane utumishi baada ya kutangazwa tangazo husika. Kuna vijana walipata temporary contact wakiwemo ma welder na carriage and wagon examiners (mafundi wa mabehewa) mpaka leo hawajalipwa na wamesimama kwa muda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…