Mvumilivu hula mbivu
Hujasema wamekuita kutokea mkoa gani yaani kwenu ni mkoa gani?Ukiacha hiyo posho wanatoa vitu gani vingine chakula,pa kulala wamekupa?kwa sasa hivi unaishi kwa nani wakati unaenda kazini?Kabla hatujakujibu hoja yako elezea kwanza haya maswali halafu tukushauri kwa busara zaidiBaada ya kuhangaika sana kwa mda mrefu kutafuta kazi jana nilipigiwa cm na shirika la Reli(TRC) kuwa nahitajika nifike ofcn kwao Mkoani Arusha.
Kwa mbwembwe na bashasha nikafika ofxn kwao nikiwa nimechomekea vzr sana.
Steshen MASTER akaniambia ww utakuwa upande wa mizigo yaani kupokea mizigo na kusimamia upimaji na kupakia kwenye GARI MOSHI. Ila utakuwa unajitolea wewe na wenzako mpaka hapo tutakapowaona munaweza kufanya kazi ndio tutaongea kuhusu mikataba..
Kwa mzigo niliopiga leo na degree yangu kichwani hadi nilijiona kama nimejidharau. kwa ushauri wenu niendelee au nisiendelee na hii kazi maana hata posho some time tunaweza tusipate na hata leo hatujapata et tunajitolea.....! Je kweli huu ni ungwana?
Sasa mwanangu, unakuja kuandika huku ili iweje? wenzio wanatafuta kazi umepata bahati ya kufanya kazi na tuliongea vizuri ukanidithia namna ulivyotoka kwenye familia duni. Haya basi tukutane jumatatu.Baada ya kuhangaika sana kwa mda mrefu kutafuta kazi jana nilipigiwa cm na shirika la Reli(TRC) kuwa nahitajika nifike ofcn kwao Mkoani Arusha.
Kwa mbwembwe na bashasha nikafika ofxn kwao nikiwa nimechomekea vzr sana.
Steshen MASTER akaniambia ww utakuwa upande wa mizigo yaani kupokea mizigo na kusimamia upimaji na kupakia kwenye GARI MOSHI. Ila utakuwa unajitolea wewe na wenzako mpaka hapo tutakapowaona munaweza kufanya kazi ndio tutaongea kuhusu mikataba..
Kwa mzigo niliopiga leo na degree yangu kichwani hadi nilijiona kama nimejidharau. kwa ushauri wenu niendelee au nisiendelee na hii kazi maana hata posho some time tunaweza tusipate na hata leo hatujapata et tunajitolea.....! Je kweli huu ni ungwana?
Maliza week 2 usome upepo,Baada ya kuhangaika sana kwa mda mrefu kutafuta kazi jana nilipigiwa cm na shirika la Reli(TRC) kuwa nahitajika nifike ofcn kwao Mkoani Arusha.
Kwa mbwembwe na bashasha nikafika ofxn kwao nikiwa nimechomekea vzr sana.
Steshen MASTER akaniambia ww utakuwa upande wa mizigo yaani kupokea mizigo na kusimamia upimaji na kupakia kwenye GARI MOSHI. Ila utakuwa unajitolea wewe na wenzako mpaka hapo tutakapowaona munaweza kufanya kazi ndio tutaongea kuhusu mikataba..
Kwa mzigo niliopiga leo na degree yangu kichwani hadi nilijiona kama nimejidharau. kwa ushauri wenu niendelee au nisiendelee na hii kazi maana hata posho some time tunaweza tusipate na hata leo hatujapata et tunajitolea.....! Je kweli huu ni ungwana?
OK. Mm ninatokea hapa Arusha japokuwa kufika hapa Relini ni kama 800, go & return. Kuhusu kula mchana ni ww mwenyewe. Yaan kwa ufupi nipo home maisha yanaenda kibishi tu.Hujasema wamekuita kutokea mkoa gani yaani kwenu ni mkoa gani?Ukiacha hiyo posho wanatoa vitu gani vingine chakula,pa kulala wamekupa?kwa sasa hivi unaishi kwa nani wakati unaenda kazini?Kabla hatujakujibu hoja yako elezea kwanza haya maswali halafu tukushauri kwa busara zaidi
Yaan kwa ufupi hakuna utakachopewa isipokuwa ck uongozi ukijisikia watakupa posho kidogo. Ila c kwa huu mzigo unaopigika.OK. Mm ninatokea hapa Arusha japokuwa kufika hapa Relini ni kama 800, go & return. Kuhusu kula mchana ni ww mwenyewe. Yaan kwa ufupi nipo home maisha yanaenda kibishi tu.
OK. Mm ninatokea hapa Arusha japokuwa kufika hapa Relini ni kama 800, go & return. Kuhusu kula mchana ni ww mwenyewe. Yaan kwa ufupi nipo home maisha yanaenda kibishi tu.
Ndio hvyo bora ukomae hapo kuliko kukaa nyumbani.Sawa. Nawashuruni nyote kwa ujumla kwa shauri zenu nzuri sana. Kwa kuwa sina cha kufanya kwa sasa ngoja niendelee nao then kama ikitokea nimepata cha kufanya nitaachana nao.
Sasa mwanangu, unakuja kuandika huku ili iweje? wenzio wanatafuta kazi umepata bahati ya kufanya kazi na tuliongea vizuri ukanidithia namna ulivyotoka kwenye familia duni. Haya basi tukutane jumatatu.
Ajira zikitoka zinapitia utumishi ukiwa hapo sio lazima uajiriwe hapo ila endelea kupambana usiacheBaada ya kuhangaika sana kwa mda mrefu kutafuta kazi jana nilipigiwa cm na shirika la Reli(TRC) kuwa nahitajika nifike ofcn kwao Mkoani Arusha.