Wanangu na nyie mtazaa tu

Inaskitisha ila inachekesha pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zamu yako itafika mkuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ningekua nazaa then nawapelekea wazazi wangu walee wajukuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ningekubaliana na ww ila natunza mabao yangu mwenyewe na mke wangu. Wazazi wako washalea wamemaliza saa hizi unawapa mzigo bila kujua umuhimu wa mtoto kulelewa na wazazi na sio babu na bibi kwahyo dogo kakuona ww ni mjinga ndio maana kafunguka
 
Nyakati hazifanani mkuu. Alaf Mimi yule sikumpeleka, Bali alipelekwa. Ila hata ungekuwa wewe mkuu, mama yake umemuona?? ,πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nimecheka sana

Mimi nikikumbuka tabia yakumwaga chakula na jinsi baba alivyokuwa analalamika doh sahivi hata ukimwaga ukoko roho inauma
 
Shida ipo kwako. Mtoto kukuambia PUMBAVU WEE tatizo si la mtoto ni lako.
 
Ha ha ha..... hapana. Kiukweli siku ambayo mtoto wangu angeniita hivyo. Hakuna rangi angeacha kuona. Au hata angemwita mtoto mwenzie sifa hiyo.
Kwa umri ule, dogo ndio alikuwa anakua, hivyo maneno mengi sana mdomoni. Ila now akili ishakomaa anasonga vizuri tu.
 
Nakukubali sana kaka, nyuzi zako zinanifurahisha Sanaa...

Hapo nimeona nguvu ya maneno, maneno unayotamkiwa ni Roho kamili, inaumba.

Usichukulie poa maneno unayotamkiwa, yakatae kwa jina la YESU.
 
Nakukubali sana kaka, nyuzi zako zinanifurahisha Sanaa...

Hapo nimeona nguvu ya maneno, maneno unayotamkiwa ni Roho kamili, inaumba.

Usichukulie poa maneno unayotamkiwa, yakatae kwa jina la YESU.
Nashukuru kusikia hivyo best. πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…