Wanandoa wengi wamechokana

Umechanganya mambo kweli hadi najiuliza unaelewa kweli unachokiongelea!!!
 
Ndoa nyingi huwa zinapitia hali hiyo. Huyo sasa ndio mke wako halisi. Ukiweza kumvumilia kwenye hali hiyo ya zarau na kununa utaweza kudumu nae. Kuna kipindi atakuja kubadilika tena na kuwa na upendo na adabu kwako. Ndio maisha ya Ndoa yalivyo.
 
Aisee nilipitia hio hali japo sikuwa nimeoa ila nilidumu penzini kwa muda mrefu. Mwaka wa tatu toka penzi letu lianze ndipo nilipoona manyoka nyoka na kuja kugundua nilijiweka sehemu mbaya. Mwanamke aliekuwa ananipenda sana alibadilika na kuwa mtu wa kunikera muda wote kila naporudi home. Ilikuwa shida sana matokeo yake nikaja gundua ni msaliti wa kimya kimya nikaamua kujipunguza. Sio siri mwanamke akishakuzoea sana anaanza kukupuuza. Ndio moment ambayo uhusiano huwa mchungu sana mbaya zaidi hata kwa waliooa hupitia hio hali. Ilifikia mahali sex mpaka mlazimishane, na ukipewa unapewa kwa masimango kibao yani hata huinjoy. Sikuwahi kusikia neno samahani wala pole kutoka kwake from that time japo nilikuwa namjali ila nafsi yangu ilichoka nikaachana nae!
 
Kumbe ni rahic kutoa ushaur ivi??
Yaan kam unanawa maji au unavunja biskuti
 
Ndoa nyingi huwa zinapitia hali hiyo. Huyo sasa ndio mke wako halisi. Ukiweza kumvumilia kwenye hali hiyo ya zarau na kununa utaweza kudumu nae. Kuna kipindi atakuja kubadilika tena na kuwa na upendo na adabu kwako. Ndio maisha ya Ndoa yalivyo.
Mkuu ni kwel unayosema haya??
Nauliza sio kwamba nimeoa ila mbona mimi ata kweny mahusiano namchoka mtu ,tena wengn dharau na ubiah apa apa mwanzo tu
 
Kuna umri Fulani kwa wanawake huwa ni Pasua kichwa. Ila wakifikia miaka 40 na zaidi huwa wanaanza kuchuja. Hapo ndio wanaanza tena kuwa na adabu na upendo kwa waume zao. Mfano hata wakipewa ubuyu kuwa mume yupo na Mchepuko huwa awatetereki.
 
Mkuu ni kwel unayosema haya??
Nauliza sio kwamba nimeoa ila mbona mimi ata kweny mahusiano namchoka mtu ,tena wengn dharau na ubiah apa apa mwanzo tu
Mahusiano tu yanachosha sembuse ndoa, unakaa na mtu mkizoeana anaanza kero. Gubu,dharau na masimango! Lazma mtemane tu. Wale walio na vyeti vya kwa shida na raha ndio wanaougulia moyoni!
 
Kubet nako kumeongeza ukubwa wa hili tatizo, mtu kabet hela ya vikoba au hela ya luku afu kaliwa unategemea atasimamisha huyo?
 
Ndoa nyingi huwa zinapitia hali hiyo. Huyo sasa ndio mke wako halisi. Ukiweza kumvumilia kwenye hali hiyo ya zarau na kununa utaweza kudumu nae. Kuna kipindi atakuja kubadilika tena na kuwa na upendo na adabu kwako. Ndio maisha ya Ndoa yalivyo.
Tatizo linakuja wapi mkuu unajikuta unapambana to make sure she satisfy in everything ,ila ndio kwanza anakuletea dharau,yaani unakuta bmkubwa wako nyumbani anampa simu elfu 60 na ukimtumia elfu 50 dua nyingi toka kwake ,while mkeo anatumia smart ya laki 8 akipokea utaskia asante baby ila bado cover yake zipo za pink nazipenda ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…