Kumbe kuna tofauti ngono na mapenzi🙄🙄🙄🙄🙄Dunia imebadilika,na teknolojia imebadilisha kila kitu,sisi wengine vipaumbele vyetu ni kutafuta wanawake wa kuzaa nao tu,then mtoto nikamlee mwenyewe on my own way,na si wa kuoa,kuoa ni bahati sana kumuotea mwanamke ambaye atakuwa romantic for the rest of your entire love life kama walivyo`maintain wazazi wa generation iliyopita...maisha yamekuwa na uhitaji mkubwa na changamoto nyingi,so mapenzi imekuwa ni ziada sana!
ngono ndio imetawala.
Tatizo liko kqa wote. Inatakiwa kila mtu a play part yake kunigesha mahusiano. Ukimuachia mmoja anachoka, na matokeo yake anakwenda zakeKatika pita pita kwa marafiki ofisini asilimia kubwa ya story za mapenzi ofisini ni wanandoa kukosa hisia za mapenzi. Kuna shoga mmoja alisimulia kuwa mmeo amelala naye mwezi mzima walikutana siku moja tu.
What might be the problem?
Wanandoa wengi wamepoteza hisia kwa wenzi wao, wanaishi tu kwa kufuata sheria lakini wengi wamewachoka wenzi wao.
Je tatizo lipo kwa wanaume au wanawake au wote?
Nini kifanyike kurudisha sexual emotion kama walivyokuwa wapenzi kwa ustawi wa NDOA?
Hii ndio inayonikuta mimi,anabadilika ,kiburi kingi sana ,zamani akikosa please nyingi na chozi juu .sasa hivi wala hajutii kukosaNdoa huwa tamu ile miaka 5 ya kwanza kwa kuwa bado mtakuwa mnaishi kwa ku- act kuyatenda Yale anayoyapenda mwenza wako. Baada ya miaka hiyo ndio kila MTU ataishi kiuhalisia wake. Hapo ndio Ndoa nyingi zinapovunjika au zikidumu huwa kwa kisingizio cha kuwaonea huruma watoto.