Wanandoa wengi hawapendani

 
Kweli kabisa! Sijuwi hata tulioana kwa sababu gani?!
Inafikirisha mno!
 
Na kwa nini mwanaume aoe mwanamke asiemridhia ina maana yeye hana akili wala maamuzi yake binafsi?? Shida ipo kwa wote wawili na si mwanamke pekee
 
Halafu bahati mbaya ni kuwa wanawake wengi waloolewa huzani wanapendwa
Na Wanaume zao kumbe ni kinyume chake.
Laiti wangejua ukweli na uhalisia kuwa hawapendwi labda ingesaidia wanawake
Kuanza kuwa watii na kuwaheshimu Wanaume zao kama ilivyoandikwa.
Kwa hivyo kumbe wengi wanaringia ndoa ambazo wanaume wao hawajawapenda kwa dhati🥲 hili nalo ni tatizo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…