interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
We dini yako inasemaje
Okey! Wacha niende chimbo kwa mujibu wa uislam.
Will be back soon!
Daah! Sijawai fanya ivo.ila nataman sana kufanya ibo
Din yoyote
Mkristo sijakutana na maandiko yanayozungumzia swala hilo
Okay worry outWeka na picha ku-support uzi.
Yaani niwafanyie wengine nilopita nao alafu mke wangu nisije kumfanyia!Kiukweli hii kitu siikubali sana. Japo mm ni muumini sana wa Uvinza. Mtu ambae naweza mnyonya ni wazi oabisa simpendi. Na mtu mwenye malengo nae siwezi mfanyia hivi wala siqezi ruhusu na yeye anifanyie.
Maaana kama ntamnyonya mke wangu, je nipo Tayari kumnyonya for life time? If noo itakuwaje nisipo mnyonya
👍👍Usijaribu utakuja chomwa moto, waachie mabaharia waendelee
UsijaribuDaah! Sijawai fanya ivo.ila nataman sana kufanya ibo
Yaani niwafanyie wengine nilopita nao alafu mke wangu nisije kumfanyia!
Kweli tuko tofauti brother!
Yaani mke nitakayemuoa , lazima aichezee Team yangu ya Uvinza FC hadi nitakapo staafu.
Mawili, ama wanakudanganya au wewe unatudanganya sisi. Vyovyote iwavyo madai yako ni ya uongo.Ni ujinga juu ya ujinga tu wala hakuna cha kumpagawisha Mwanamke wala cha ufundi wa mapenzi.
Maswala ya kulambana lambana haya ni mapokeo tu ya kizazi chetu hiki kinachoiga iga kila kitu hata visivyofaa.
Mbona mi huwa siitumii hiyo mbinu na Wanawake wengi tu hunisumbua niendelee kuwa nao katika mahusiano hata ambao wameshaolewa?
Usipomnyonya wewe mimi nitamnyonya, kuimba kupokezana ndugu mjumbe.Kiukweli hii kitu siikubali sana. Japo mm ni muumini sana wa Uvinza. Mtu ambae naweza mnyonya ni wazi oabisa simpendi. Na mtu mwenye malengo nae siwezi mfanyia hivi wala siqezi ruhusu na yeye anifanyie.
Maaana kama ntamnyonya mke wangu, je nipo Tayari kumnyonya for life time? If noo itakuwaje nisipo mnyonya
Kwahiyo ina maana hata wewe hupendi kufanyiwa hivyo kabisa mkuu??
Yani ulimi ambao utautumia kunena mambo ya hekima, kupatanisha Watu na hata kuhubiri habari za Mungu ukauweke mahala sio pake afu nawe unajiita msomi tena mwenye akili timamu kabisa, kweli?Mawili, ama wanakudanganya au wewe unatudanganya sisi. Vyovyote iwavyo madai yako ni ya uongo.
Bahati mbaya natumia tecno kilema hata screenshot haipigi ila ningekuonyesha nguvu ya ulimi.