B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Hii story naona kama umeibadilisha ni kisa cha zamani.
Unafaa kuwa mwandishi kama shigongo vile!dont think 2 m negative!jst my thoughts!
Sasa mkuu, kama kweli huyo mke wa rafiki yako ana ushahidi ambao ameambiwa na mtu aweke.Anzia hapo vinginevyo hiyo kesi hutaiweza.Mkuu Bhululu, nishauri niwashauri vp? hii ni real imetokea hapa, jamaa ni rafiki yangu sana, sasa nifanyeje?
nipo hapa Tabata segerea ndipo tunapoishi sasa mimi nipo kazini jamaa ananipigia simu kuwa niwahi kurudi home ili niwa-mediate
matendo huongea zaidi kuliko maneno...
Mkeo unamwambia tena naomba?? Unatakiwa kuanza maandalizi mara moja pale unapohitaji HAKI yako...! Wakishanuna hawa wenzetu hasa kwa maelezo ya hadithi za kuambiwa na mtu ambaye tena hayuko tayari kumtaja, usitarajie itaisha hivi karibuni kwa kujaribu kumwongelesha.. Wewe anza maandalizi tu, utapata haki yako na that way mnuno unapungua baada ya wiki mtakuwa sawa na wala akishajirudi husimuulize alikuwa amenunia nini labda ajiongeleshe mwenyewe..
ONYO: Mama nanilihii do not cross katika hii uzi, sawa?
Mkuu Bhululu, nishauri niwashauri vp? hii ni real imetokea hapa, jamaa ni rafiki yangu sana, sasa nifanyeje?
nipo hapa Tabata segerea ndipo tunapoishi sasa mimi nipo kazini jamaa ananipigia simu kuwa niwahi kurudi home ili niwa-mediate
me naona hata asingee andaa angepanda tu ...
ha ha ha jamaa angegeuka amfunue atumie afunike alale.......... ila kiukweli maisha ya kununiana siyapendi peaneni makavu mambo yaishe muendelee ...... mwambie jamaa ajitoe akili awe anaongea na akitumiwa sms asjibu wala kufanya wawasiliane kwa mdomo........