Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Mar 5, 2014 #2 wanandoa wa jinsia moja hao sio??
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Mar 5, 2014 #3 udikteta tu wananchi washaamua tatu kwa nini mtulazimishe mbili?
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,987 Mar 5, 2014 #4 Janjaweed said: wanandoa wa jinsia moja hao sio?? Click to expand... kuna mmoja ni mliberali hapo!
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,373 Reaction score 4,141 Mar 5, 2014 #5 Mndengereko said: udikteta tu wananchi washaamua tatu kwa nini mtulazimishe mbili? Click to expand... Sijui Tume ya Jaji Warioba waliiunda kwa kazi gani! Hawa watu wananichanganya sana
Mndengereko said: udikteta tu wananchi washaamua tatu kwa nini mtulazimishe mbili? Click to expand... Sijui Tume ya Jaji Warioba waliiunda kwa kazi gani! Hawa watu wananichanganya sana
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Mar 5, 2014 #6 ITEGAMATWI said: Sijui Tume ya Jaji Warioba waliiunda kwa kazi gani! Hawa watu wananichanganya sana Click to expand... ndo nashangaa wanaunda tume alafu kumbe kuna maoni yao tayrai ambayo wanataka yatekelezwe shame on us tanzanian.
ITEGAMATWI said: Sijui Tume ya Jaji Warioba waliiunda kwa kazi gani! Hawa watu wananichanganya sana Click to expand... ndo nashangaa wanaunda tume alafu kumbe kuna maoni yao tayrai ambayo wanataka yatekelezwe shame on us tanzanian.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Mar 5, 2014 #7 Huyu mwanamke wa 2 kajeuri kweli msikilize mme wako anakushauri 3 utaachika oohooh
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 6, 2014 #8 Kibo10 said: Huyu mwanamke wa 2 kajeuri kweli msikilize mme wako anakushauri 3 utaachika oohooh Click to expand... Nani alivaa veli katika hawa?
Kibo10 said: Huyu mwanamke wa 2 kajeuri kweli msikilize mme wako anakushauri 3 utaachika oohooh Click to expand... Nani alivaa veli katika hawa?