Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?


Kijana samahani naomba unifahamishe, kwani huyo unayemuoa ulishawahi kukutana naye kimwili?
 
Hakuna limit mkuu, si unajua ndoa maana ni sex at cheap price. Ukishakabidhiwa umenunua ndo maana unatoa vipesa vyako na ng'ombe! Piga tu anytime ila ukumbuke kwenda kazini.
 
Kama huyo mtarajiwa tiyari umesha muanza nadhani ikifika siku ya arusi huenda ukalala ukumbini kwani huna hamu naye. Lakini, kama hujawahi kumchovya, nakuambia mnaweza kulala njaa kwani hutaruhusu itoke humo. Kwani unafikiri wabunifu wa fungate walitaka nini??
Ila kama kuanzia uchumba hadi ndoa kila mkikutana ni kitandani ndio mnamalizia hiyo siku ya fungate ya nini?? Hiyo siku mmepewa tu leseni ya kuliendesha gari lako.
Wenye hamu ya kweli ni kila saa. Zamani kidogo ilikuwa ni marufuku kupiga hodi kwa wanandoa wapya. Kama ulitaka kitu kwao uliwavizia wakitoka kwenda chooni unamuwahi mmoja unamweleza haja yako haraka na kuondoka. Unawaachia faragha yao. Nimalizie hivi; Ni marufuku kulala na pichu au kusema nimechoka
 
kindly click here to read


kama unamaanisha wiki yenye siku saba basi si chini ya mara 21 yaani 1x3/7
Mkuu nimependa ulivyoiweka post yako,umetumia utundu gani kama hutojali nielekeze.anyway....mleta mada ni kila pale kitu kinapoenda mnara kama yuko sawa chomeka ila usi-force.
 
Na Dr. E Hyela

*WANAWAKE WANAOJAMIIANA ANGALAU MARA NNE KWA WIKI HUONEKANA VIJANA KWA MIAKA 7 AU 12 ZAIDI KWA SABABU KUJAMIIANA KUNAONGEZA HORMONE YA OESTROGEN AMBAYO HUZIFANYA NYWELE ZA WANAWAKE KUWA NZURI NA PIA NGOZI YENYE KUNG'AA HIVYO BASI WANAUME MNASHAURIWA KUHAKIKISHA KUWA WANAWAKE HAWAZEEKI KWA KUWAPA MAMBO MOTO MOTO NA WANAWAKE MSIBANE SANA MTAZEEKA BURE* copy & paste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…