mahondaw imekuwaje usikotiwe leo? Au Korona imeshafanya yake?😅😅😅Ahsante kwa taarifa ngoja waje...
Mumesikia nyie wanandoa wenzangu acheni Uasherati. Maana kupitia uasherati ndoa inakubalika kuvunjika
Aaaaah usije mnyima bure, siyo mimi.[emoji23][emoji23][emoji23]huwa mnanifurahisha ikifika hii sector
Huu muandiko mbona kama wa mume,isije kuwa ID yako nyingine