Wanandoa wa DOT COM hawawezi kufika huku

Ni kweli, umri wetu Wa kuiahi hauwez kuufikia hata umri wao Wa ndoa
 
Ukiona hivi ujue kuna binadamu wenye uvumilivu mkubwa. Hawa wawili katika maisha yao wamevumiiana mambo makubwa ambayo vijana wa sasa hawawezi kuvumiia hata kwa sekunde moja!
 
Mimi na mke wangu tutafika hatua hii kwa uweza wa MUNGU aliye hai.
 
Hao dot com wanaofanya mapenzi kinyume? haiwezekani kabisa kufika huko........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…