msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
aiseee ngoja nikaoe nipewe heshimaHii maalum kwa wakina mama, wanawake.
...sometimes mnakosea Sana juu ya kuyafanya mahusiano yako yawe na Afya.
Mwanaume katika Ndoa Haitaji kupendwa Toka kwako, Kitu pekee anachokihitaji mwanamke toka kwa Mwanamke /Mkewe ni Heshima/Utii.
Ila Wewe mwanamke Ndo unatakiwa Kupendwa na kuoneshwa upendo toka kwa Mumeo au Jamaa yake.
#MAHUSIANOYENYEAFYA
ThanksHuna mpangilio mzuri wa uandishi,.
PamojaAsante
Mi hata sijamuelewa kwakweli,andiko halina uzito kama kichwa kilivyojielezaHuna mpangilio mzuri wa uandishi,.
Ujumbe he mzuri?Huna mpangilio mzuri wa uandishi,.
Hebu mpangilie tuoneHuna mpangilio mzuri wa uandishi,.