Wanandoa njooni huku

Wewe umejaa matatizo tena makubwa uko wapi nijekukuchukulia .
 
Mi huwa nikimuangalia mke wangu nawaza ni lini tutajenga ghorofa yetu tuondoke kwenye hii nyumba ya kupanga
 
kuna watu mnapenda kuzikimbia furaha za ndoa badala ya kuzikimbilia.
 
Msiwawazie wenza wenu mabaya, unless kama mwenyewe unayafanya hayo
 
Ishi kwa imani na matumaini ya uaminifu tu, ukifikiria hasi utakonda sana pia ile mihemko kwa mke itapungua sana maana ukimwangalia utakua unawaza ya kuwa huibiwi kweli!!!!?
 

Unatafuta malignant Hypertension?
 
Ngoja nikuulize swali

Ukiwa unakitafuta kiatu ndani mwako ukikipata utafurahi au utachukia?
Jibu ni ndiyo,isn't it?

The same thng apply kwenye ishu ya kujiuliza mambo ya hovyo kama haya
Ukianza kumkagua mkeo kama anatoka nje ukijua hilo utafurahi?

MWANAUME hahitaji kuambiwa na mwanamke kuhusiana na mambo ya hovyo hayo
Yeye ni kumhudumia na kuhakikisha hapati njaa ya aina yoyote ile!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…