kama swala la historia napinga labda useme utabiri coz hiyo zamani wazee wetu hawakua wanakaa kwenye mahusiano kipindi kirefu na ndoa zao ndio mifano ya kuigwa hadi leo,watoto wao walipata bahati ya kukua hadi kuoa /kuolewa wakati wazazi wao wanaishi pamoja bado,
leo hii watoto wakifanikiwa kuoa/kuolewa utakuta high table kuna mzaz mmoja yupo na step mom na mama mzazi yupo side yake yupo na step faza