Wanandoa Kulala Vitanda Tofauti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ngoja nisubiri msimamo wa Mamndenyi kwanza kwenye hu uzi then nami nitachangia! Joke.
 
KIKUBWA NI UAMINIFU tu.Shuka,kitanda,chumba,nyumba,mtaa,mji na hata nchi tofauti haina tatizo
 
Ni makubaliano tu, pia umri wenu na umri wa ndoa pia unahusika, kama mnawatoto au hamna pia ni factor nyengine..
 
kwanza nilivyozoea kulala nimekumbatia, nimekumbatiwa, ninavyopenda kupapasa nyonyo, ninavyopenda story kabla ya kusinzia, sipati picha kulala kitanda tofauti na mama watoto wangu, nakupenda sana Jaqueline wangu.

ni kweli mkuu hebu fikiria baridi ya siku hizi jamani kipenzi chako kiko mbali nawe? mm wife alikuwa anaweka mtt wetu mchanga katikati baridi imemfanya amsukumie mtt mbali akamfuata mme wake! chezea baridi ww!
 

Yaani nikisafiri/akisafiri pamoja na vingine, kukumbatiwa pia nakumissigi. Wacha mchezo kukumbatiwa huku unapapaswa kimahaba na stori za uongouongo ziwe mbali?
Aaaakkuuu Hilo pepo la kuzuia 0 distance likae mbali na nyumba yangu.
 
kwanza nilivyozoea kulala nimekumbatia, nimekumbatiwa, ninavyopenda kupapasa nyonyo, ninavyopenda story kabla ya kusinzia, sipati picha kulala kitanda tofauti na mama watoto wangu, nakupenda sana Jaqueline wangu.
Mimi sijaoa but rose wangu anavyopenda kuchezewa nywele kabla ya kulala na kushikwa kiuno na mashavu cjui kama hii style itatufaa na anavyodeka i cant:smile-big:
 
labda ni nzuri itapunguza kuchokana...
 
Mimi chumbani kwa wazazi wangu mpaka leo kuna vitanda viwili. Kimoja cha mama na cha baba
 
Saa nyingine unaweza kuota ndoto ya kutisha, unapostuka ukapapasa na kukuta mwenzio yuko pembeni, hofu inaisha.

Ni kweli
Mimi nakoroma sana kama freight train sasa sijui nikioa itakuwaje manake girlfriends wanalala living room eti hawawezi kulala!
 
Siungi mkono hoja...chezeya kumbatio la mwili mmoja...
 
dah! Ila haya mi cpendi sn kubanana!kila m2 kitanda chake ndani ya chumba kimoja,bt sio kila siku!
 
Hii tabia ya kishetani. Ila siku hizi utandawazi umeleta mambo mengi, nahisi kila mtu ana usitaarabu wake.
 
Chopeko umenikwazaje!Mungu niepushe na hili balaa! usingizi bila kubemebelezwa!
 
Kumbuka sio kila unachokisikia mtaan ndicho..nyingine zinakua n stor za kupeleka masaa mbele
 

hapo hamna ndoa , raha ya ndoa ni kulala kama mlivyozaliwa miili yenu ikigusana sehemu mbalimbali ......... na pia mnapata fursa ya kuongea maneno matamu mawili matatu kabla ya usingizi kuawachukua au kukamilisha kwa tendo la ndoa.




ukiweka ratiba ya kubanjuana kwenye mapenzi/ndoa ndiyo mwanzo wa kuchokana na mapenzi kuwa goi goi au boring..... muda wowote mzuka ukipanda mnamalizana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…