Wanandoa hii vipi??

sister umenikumbusha mbaki last, hii mbinu ni nzuri ila wahusika anatakiwa wahusika wawe matured.
Hahaha unajuwa shunie mjanja mjanja sana hizi mbinu atakuwa anakufanyia sana mzee fakalava, dawa hapa ni maombi tu
 
Hahaha dah mkuu naona umejitetea ipasavyo
 
Hahahaha sawa mkali wao, ila usinisikitikie kutojuwa kufanya dhambi, unajuwa yesu hapendi tutende dhambi [emoji5] [emoji5] [emoji5]
pamoja na hayo alikuwa anajua dhambi zinazoendelea bila yeye mwenyewe kuzienda..........so kuzijua si kuzitenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…