S shabani materu New Member Dec 23, 2020 1 0 Jan 3, 2023 #1 Ni vizuri kwa anavyosifiwa sijakataa, ila ningependa kwa anaefahamu vizuri sheria inasemaje juu ya hili? Isitokee akakosolewa alafu sheria ikaleta ukakasi kama tunavyowajua wakosoaji wapo na wanakosoa japo kwa kuogopa sana.
Ni vizuri kwa anavyosifiwa sijakataa, ila ningependa kwa anaefahamu vizuri sheria inasemaje juu ya hili? Isitokee akakosolewa alafu sheria ikaleta ukakasi kama tunavyowajua wakosoaji wapo na wanakosoa japo kwa kuogopa sana.
econonist JF-Expert Member Jul 11, 2015 15,818 21,816 Jan 3, 2023 #2 Mbona mikutano ya ndani ya CHADEMA alikuwa ana kosolewa na Hakuna kilichofanyika.