Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Barabara ya UBUNGO kutoka Posta wananchi wameifunga
Hii sasa ni balaa wananchi wanamlinda Askofu wao.
Baadhi ya wananchi ( waumini ) ambao walionekana nje ya Kanisa la Ufufuo na uzima ambalo lipo chini ya Askofu Gwajima wakiwa wamefunga barabara kushinikiza kuto kamatwa kwa Askofu wao na hii ni baada ya taarifa Askofu Josephat Gwajima Kanisa lake usiku huu kuzingirwa na Askari Polisi.
Na hii inakuja baada ya kutoka taarifa Serikali kulifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Updates...
Jeshi la POLISI likiwa na MBWA waliongezeka pia ili kuwaondoa wananchi walioweka kambi kanisa la Gwajima
Polisi wanawaambia wananchi waondoke kabla HAWAJAANZA KAZI.Wananchi wanaendelea kuimba na kuabudu kwenye kanisa lao. Wanatumia haki yao ya kikatiba “UHURU WA KUABUDU”.( Saa tisa dakika 10 usiku)
Polisi wamelisogeza gari la maji ya washawasha kuwatisha WANANCHI, chaajabu wananchi waendeea wanashangilia na Ngoma & MAVUVUZELA yanaendelea kupigwa hapa.
Baada ya KUTAWANHISHA WATU, wamepiga mabomu ya MACHOZI, sasa wanafanya mpango wa kuingia ndani ya kanisa kumchukua Askofu Gwajima