Losambo JF-Expert Member Nov 8, 2011 2,612 864 Mar 31, 2012 #41 Radhia Sweety said: umaskini wako usiniambukize na mimi babu eeh. Zee zima huna hata kibajaji, unaishi kwenye kichumba kimoko cha kupanga.............(msonyooooooooo) Click to expand... Mambo ya kike shida kweli kweli!!!! Haya FaizaFox mpya.
Radhia Sweety said: umaskini wako usiniambukize na mimi babu eeh. Zee zima huna hata kibajaji, unaishi kwenye kichumba kimoko cha kupanga.............(msonyooooooooo) Click to expand... Mambo ya kike shida kweli kweli!!!! Haya FaizaFox mpya.
Mtoboasiri JF-Expert Member Aug 6, 2009 5,101 1,949 Mar 31, 2012 #42 Losambo said: Mambo ya kike shida kweli kweli!!!! Haya FaizaFox mpya. Click to expand... Sio Faiza Fox mpya, ndie huyo huyo wa siku zote, ila sema tu kabadilisha ID baada ile ya mwanzo kula ban isiyo na kikomo!
Losambo said: Mambo ya kike shida kweli kweli!!!! Haya FaizaFox mpya. Click to expand... Sio Faiza Fox mpya, ndie huyo huyo wa siku zote, ila sema tu kabadilisha ID baada ile ya mwanzo kula ban isiyo na kikomo!
M Mwanyava JF-Expert Member Jul 25, 2011 204 30 Apr 1, 2012 #43 Radhia Sweety said: Mwongo mkubwa wee, mimi nipo hapa King'ori na watu wamejaa kibaoo Click to expand... Unauhakika na hao waliopo kuwa ni wenyeji? Usikomae kwa jambo ambalo mwenzio ameliona kwa macho yake au na wewe na niwale wakusafilishwa kwa mabasi?
Radhia Sweety said: Mwongo mkubwa wee, mimi nipo hapa King'ori na watu wamejaa kibaoo Click to expand... Unauhakika na hao waliopo kuwa ni wenyeji? Usikomae kwa jambo ambalo mwenzio ameliona kwa macho yake au na wewe na niwale wakusafilishwa kwa mabasi?