Wananchi waua jambazi Morogoro.

Wananchi waua jambazi Morogoro.

JAFE

Senior Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
191
Reaction score
42

DAKTARI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO AKIANGALIA MWILI WA MTU ANAYEDAIWA KUWA NI JAMBAZI BAADA YA WANANCHI KATIKA KIJIJI CHA MWANZOMGUMU MANISPAA YA MOROGORO KUMUA HUKU MAJAMBAZI HAYO NAYO YAKIJERUHI WATU WAWILI NA KUPORA KIASI CHA PESA SH 2.3 MIL KATIKA SOKO LA NDIZI ENDELEA KUPITIA AUDIFACEJACKSON BLOG KWA TAARIFA ZAIDI


KWA MUJIBU WA TAARIFA ZILIZOTUFIKIA ZIMEELEZA KUWA JUMLA YA MAJAMBAZI WATATU WENYE SILAHA YALIVAMIA WAFANYABIASHARA NA WAKULIMA NA KUFYATUA RISASI AMBAZO ZIMEWAJERUHI WATU WAWILI NA KULAZWA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO.


WALIOJERUHI NA KUTAMBULIWA NI FURAHA SHOMARI, (30) MKAZI WA MWANZO MGUMU AMBAYE ALIPIGWA RISASI SEHEMU YA UBAVUNI NA KUTOKEA ENEO LA TUMBO.ENDELEA KUPITIA AUDIFACEJACKSON BLOG KWA TAARIFA ZAIDI.
MUNGINE NI HUSSEIN RAMADHAN SULEIMAN (40) MKAZI MBURAHANI KWA JONGO JIJINI DAR ES SALAAM AMBAYE NAYE ALIPIGWA RISASI KATIKA UGOKO WA MGUU NA KUDONDOKA CHINI HUKU MMOJA WA MAJAMBAZI HAO ALIMPOLA KIASI CHA SH 2.3 MIL PAMOJA NA SIMU YA MKONONI YENYE THAMANI YA SH 80,000 KATIKA TUKIO LILILOTOKEA MAJIRA YA SAA 12 KASORO.


BAADA YA KUTOKEA TUKIO HILO WANANCHI WALIFANIKIWA KUMBIDHITI MMOJA WAO NA KUMSHUSHIA KIPIGO HADI KUPOTEZA MAISHA.​



 
safi sanaa. Tungetumia sharia huyo jambazi angepoteza mkono tu. Sasa wao wametoa roho kabisa
 
Maisha yameshabadili mioyo ya watanzania, zamani unaposikika mlio wa risasi kila mtu anajifungia ndani lakini siku hizi watu wanafuata mlio wanajua wanaweza bahatisha zilizodondoka dondoka, mbaya zaidi wakigundua risasi zimekwisha lazima wamnyofoe mtu roho.
 
Majambazi wamevamia soko la ndizi morogoro na kuua na kujeruhi, ambapo wananchi wenye hasira wamemua jambazi mmoja na wengine wanne wamekimbilia milimani na wanaendelea kusakwa na polisi. Walio na habari mpya watujuze, nawasilisha.
 
Hatuna polisi wakudhibiti majambazi, tuna polisi wa kuzibiti maandamano ya CHADEMA,
 
Kama kawaida wakazi wa moro

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Japo si vizuri kujichukulia sheria mkononi lakini kukithiri kwa ujambazi kunafanya wananchi kuwa na hasira. Rest in peace Jambazi
 
Back
Top Bottom