Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,159
- 6,044
Ndiyo maana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni muhimu sana....!CDM mmeweka Imani Kwa sa100,
Mmewahi jiuliza what will happen if CCM changes it's candidate?
Mnaamini wataheshimu terms za maridhiano?
Wasiwasi ndo AKILI.
Wakibadili mgombea na kulazimisha tuingie uchaguzi 2025 Kwa Katiba hii na kupuuza terms za maridhiano ambazo ni Siri,Ndiyo maana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni muhimu sana....!
Kuna watu vichwani ni empty kabisa, bila kujenga amani kwa njia ya kukaa mezani, nchi itaendaje, au mlifurahia habari za matajiri kufa ovyo na watu kutekana na kutoweka?Kukiwa na kutekana, kubambikiana kesi na ugomvi wananchi watakula hayo?
Sio kusikitika jinyongeze kabisa au rudi kwenu Burundi mlipozoea kukimbizana.Kiongozi wa nchi anapohangaika kufurahisha magenge na wanasiasa kwa lengo la kujinasibu kisiasa na kusahau majukumu na kazi ya kiongozi wa nchi ni yapi, si dalili njema kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi kwa taifa lolote...
Mkuu dalili ya masikini ni roho mbaya yeye anawaza ugali muda wote hata kama wenzake wanaokotwa kwenye viroba nguruwe huyu!!Kuna watu vichwani ni empty kabisa, bila kujenga amani kwa njia ya kukaa mezani, nchi itaendaje, au mlifurahia habari za matajiri kufa ovyo na watu kutekana na kutoweka?
Kama ulifuatilia rais aliahidi kuwa karibuni Ile kamati itaanza kazi kuhusu jinsi ya kuendeleza mchakato wa Katiba mpya ikihusisha pia vyama vyote.Wakibadili mgombea na kulazimisha tuingie uchaguzi 2025 Kwa Katiba hii na kupuuza terms za maridhiano ambazo ni Siri,
CDM watafanya nn Kwa jinsi walivyompigia makofi sa100?
ulitaka walishwe na nan?Kiongozi wa nchi anapohangaika kufurahisha magenge na wanasiasa kwa lengo la kujinasibu kisiasa na kusahau majukumu na kazi ya kiongozi wa nchi ni yapi, si dalili njema kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi kwa taifa lolote.
Unapohangaika kufurahisha vikundi vya watu ni wazi kwamba kamwe hautafanikiwa kukamilisha kufurahisha kila mmoja kwa 100% na ukizidi kulazimisha kukubalika miongoni mwa watu unakuwa mtumwa wa kuhangaikia kuwafurahisha watu badala ya kutekeleza majukumu ya msingi ambayo yatakuwa kielelezo cha ufanisi wako katika kazi na kuacha watu wapongeze wenyewe.
Maendeleo ya nchi hayaji kwa porojo za jukwaani na kufurahisha makundi ya watu bali kwa jasho na damu, kwa kuchapa kazi, kuweka sera bora za maendeleo na kuzisimamia kwa ukamilifu n.k angalia mfano wa China, hawakupata maendeleo waliyonayo kwa porojo za jukwaani.
Kiongozi wa nchi anayetumia muda wake mwingi kufurahisha watu kwa malengo ya kunufaika kisiasa na kusahau wananchi ambao mpaka sasa wanahangaika na mgao wa umeme,maji n.k HAFAI HATA KIDOGO!
Leo hii Tanzania hakuna mipango wala mikakati mikubwa ya maendeleo.Miradi mikubwa kama SGR, JNHP na mashirika makubwa kama ATCL yanaelekea kufa kutokana na usimamizi mbovu na viongozi kugeuka wanasiasa wa kufurahisha magenge na kuzungumzia petty issues ambazo sio kipaumbele kwa nchi masikini kama Tanzania.Hakuna mikakati na focus ya jumla kama taifa, huku viongozi wakichoma mamilioni kwenda kuhudhuria mkutano kujadili athari ya gesi ya ukaa!
INASIKITISHA SANA
hujui siasa wewe kaa kimya kumbe wengine humu ni wajinga ndio maana tunawajibu kulingana na ujinga wenu.Wakibadili mgombea na kulazimisha tuingie uchaguzi 2025 Kwa Katiba hii na kupuuza terms za maridhiano ambazo ni Siri,
CDM watafanya nn Kwa jinsi walivyompigia makofi sa100?
Fanya kazi ujipatie ridhiki usitarajie serikali kukuletea pes mfukoni.Kiongozi wa nchi anapohangaika kufurahisha magenge na wanasiasa kwa lengo la kujinasibu kisiasa na kusahau majukumu na kazi ya kiongozi wa nchi ni yapi, si dalili njema kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi kwa taifa lolote.
Unapohangaika kufurahisha vikundi vya watu ni wazi kwamba kamwe hautafanikiwa kukamilisha kufurahisha kila mmoja kwa 100% na ukizidi kulazimisha kukubalika miongoni mwa watu unakuwa mtumwa wa kuhangaikia kuwafurahisha watu badala ya kutekeleza majukumu ya msingi ambayo yatakuwa kielelezo cha ufanisi wako katika kazi na kuacha watu wapongeze wenyewe.
Maendeleo ya nchi hayaji kwa porojo za jukwaani na kufurahisha makundi ya watu bali kwa jasho na damu, kwa kuchapa kazi, kuweka sera bora za maendeleo na kuzisimamia kwa ukamilifu n.k angalia mfano wa China, hawakupata maendeleo waliyonayo kwa porojo za jukwaani.
Kiongozi wa nchi anayetumia muda wake mwingi kufurahisha watu kwa malengo ya kunufaika kisiasa na kusahau wananchi ambao mpaka sasa wanahangaika na mgao wa umeme,maji n.k HAFAI HATA KIDOGO!
Leo hii Tanzania hakuna mipango wala mikakati mikubwa ya maendeleo.Miradi mikubwa kama SGR, JNHP na mashirika makubwa kama ATCL yanaelekea kufa kutokana na usimamizi mbovu na viongozi kugeuka wanasiasa wa kufurahisha magenge na kuzungumzia petty issues ambazo sio kipaumbele kwa nchi masikini kama Tanzania.Hakuna mikakati na focus ya jumla kama taifa, huku viongozi wakichoma mamilioni kwenda kuhudhuria mkutano kujadili athari ya gesi ya ukaa!
INASIKITISHA SANA
Walizoe kula pesa za serikali kwa mlango wa nyuma wa ccm.ulitaka walishwe na nan?
Ujinga Si TUSI,hujui siasa wewe kaa kimya kumbe wengine humu ni wajinga ndio maana tunawajibu kulingana na ujinga wenu.
Hii ni mada bora kabisa kwangu tangu mwaka huu uanze hongera sana mkuuKiongozi wa nchi anapohangaika kufurahisha magenge na wanasiasa kwa lengo la kujinasibu kisiasa na kusahau majukumu na kazi ya kiongozi wa nchi ni yapi, si dalili njema kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi kwa taifa lolote.
Unapohangaika kufurahisha vikundi vya watu ni wazi kwamba kamwe hautafanikiwa kukamilisha kufurahisha kila mmoja kwa 100% na ukizidi kulazimisha kukubalika miongoni mwa watu unakuwa mtumwa wa kuhangaikia kuwafurahisha watu badala ya kutekeleza majukumu ya msingi ambayo yatakuwa kielelezo cha ufanisi wako katika kazi na kuacha watu wapongeze wenyewe.
Maendeleo ya nchi hayaji kwa porojo za jukwaani na kufurahisha makundi ya watu bali kwa jasho na damu, kwa kuchapa kazi, kuweka sera bora za maendeleo na kuzisimamia kwa ukamilifu n.k angalia mfano wa China, hawakupata maendeleo waliyonayo kwa porojo za jukwaani.
Kiongozi wa nchi anayetumia muda wake mwingi kufurahisha watu kwa malengo ya kunufaika kisiasa na kusahau wananchi ambao mpaka sasa wanahangaika na mgao wa umeme,maji n.k HAFAI HATA KIDOGO!
Leo hii Tanzania hakuna mipango wala mikakati mikubwa ya maendeleo.Miradi mikubwa kama SGR, JNHP na mashirika makubwa kama ATCL yanaelekea kufa kutokana na usimamizi mbovu na viongozi kugeuka wanasiasa wa kufurahisha magenge na kuzungumzia petty issues ambazo sio kipaumbele kwa nchi masikini kama Tanzania.Hakuna mikakati na focus ya jumla kama taifa, huku viongozi wakichoma mamilioni kwenda kuhudhuria mkutano kujadili athari ya gesi ya ukaa!
INASIKITISHA SANA
Mbona kila siku watu wanatekwa na kuuwana au umejifungia wapi husikilizi vyombo vya habariKukiwa na kutekana, kubambikiana kesi na ugomvi wananchi watakula hayo?