Ujinga wa Watanzania umezidi...ndo maana habari za ushirikina kila kukicha.
eti nyoka!!!!
Ina maana hata video za huyo nyoka hakuna? Au wakati nyoka anapigwa hakuna? Evidence nyinginezo ziko wapi? huyo kama alikuwa na ugonjwa wa akili hadi kushika nyoka mwenye sumu na kugongwa imekaaje?
au mmetufuata hadi huku JF kutaaminisha ujinga wenu? Mnadhani kutengeneza script hiyo ndo tutawaamini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.