Wananchi wanaweza kutetewa hata nje ya bunge Na sio lazima mtetezi awe mbunge

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Hoja ya kudai eti mbunge kutokuwa ndani ya bunge hawezi kuwatetea wananchi wake sio sahihi.Je wale wabunge wanaokuwa bungeni hawasemi wa kuchangia hoja wao ni kupiga meza wanawateteaje wananchi wao?Upinzani unazuiliwa hats kuongoza kamati, zinapangiwa wajumbe, wananyimwa fulsa za kuchangia watawateteaje wananchi.
Kuwatetea wananchi kunaweza kufanya Na MTU yoyote, shirika au taasisi Kwa kupaza sauti dhidi ya serikali Na sauti hizo hupazwa nje ya Bunge.Mzee Mengi amekuwa mstari wa mbele kuwatetea Na kuwasaidia wananchi je anawatetea akiwa bungeni?Makanisa yapoitaka serikali iwa
 
Back
Top Bottom