Wananchi wamshutumu mbunge wa Ilemela

Wananchi wamshutumu mbunge wa Ilemela

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, analalamikiwa na Wananchi wa Mtaa wa Nyanguku na Lukobe uliopo katika Kata ya Kahama kwa kushindwa kuwasaidia kulipwa fidia za ardhi yao, anaandika Moses Mseti.

Wananchi hao wapatao 6000, wanamlalamikia mbunge huyo kutokana na maeneo yao yenye ukubwa wa zaidi ya hekta saba kuchukuliwa na Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mkoani humo bila fidia.

Akizungumza hivi karibuni, katika kikao cha kujadili kuhusu kuchukuliwa maeneo yao, Paulo Lameck, Mwenyekiti wa Mtaa wa Lukobe amesema kuwa, malalamiko na lawama zote wanamtupia Mabula kwa kushindwa kuwasaidia.

Lameck amesema kuwa, wanamtupia lawama mbunge huyo kutokana na kushindwa kuwasaidia, kuzungumza na wahusika wanaodaiwa kuchukua maeneo hayo kitendo ambacho kimesababisha waendelee kuishi kama wakimbizi katika nchi yao.

“Tangu mwaka 1960 tunaishi hapa, Novemba 2006 ndio tuliambiwa kwamba tunapaswa kuondoka katika maeneo haya, kwa madai siyo ya kwetu, sasa nashangaa miaka yote hiyo babu na baba zetu wameishi hapa 2006 ndio tuhamishwe,” amesema Lameck.

Amesema, baada ya hali hiyo kuzidi kuwa tete kufuatia nyumba zao kubomolewa nyakati za usiku na watu wasiofahamika, Machi 2015 waliamua kwenda Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi kutoa kilio chao.

Lameck amesema, baada ya kutoa kilio hicho katika Wizara ya Ardhi, Juni mwaka 2015, watalaamu wa wizara hiyo walikwenda katika maeneo yao na kufanya tathmini lakini mpaka sasa bado hawafahamu hatma yao.

“Machi 2016 tulikwenda kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, (Manju Msambya) lakini na yeye hakuweza kutusaidia na baada ya kuona hatupati msaada, tukaandika barua kwenda kwa Waziri wa Ardhi (William Lukuvi) na mpaka sasa hakuna majibu,” amesema Lameck.

Benard Mkina, Diwani wa Kata ya Kahama, amesema kuwa, wananchi wake wanateseka na kwamba wengine wamepoteza maisha kutokana na kunyang`anywa maeneo yao na kuwa, watu waliyoyachukua kwa sasa wanachimba mchanga na kuuza.

Mabula ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi alipotafutwa na mtandao huu kupitia simu yake ya mkononi kuzungumzia malalamiko hayo, alijibu “nipo kwenye kikao na kukata simu.”

Kheri James, Katibu wa mbunge alikiri kuwepo kwa suala hilo huku akiwatupia lawama John Wanga, Mkurugenzi wa Ilemela na Manju Msambya, aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao.

“Hilo suala tunalifahamu na sisi kama ofisi ya mbunge tuliishalifuatilia na mamlaka husika waliahidi kulifanyia kazi.

“… lakini mkurugenzi (John Wanga) na watu wake wanameshindwa kufanya majukumu yao wanataka sisi tuyafanye,” amesema James.
 
Ulizeni wenzenu wa maeneo ya Mhonze na Nyamwilolelwa, nyote ni wavamizi wa eneo la jeshi ondokeni haraka.
 
tena ni naibu waziri wa wizara ya ardhi ile ninyi watu wa bush siwahurumii maana mnamahaba sana na CCM
 
kama eneo limechukuliwa na jeshi hapo wasitegemei kuna neno litakalosemwa labda angekuwa mbunge wa upinzani ndio angeweza kusema ukweli mbele ya ao jamaa
 
poleni sana : nivizuri wizara ya ardhi pamoja naya ulinzi kitizama swala hilo kwa haki bila ya kutumia nguvu za dola, lakini wana wa ilemela muwe makini kuchagua wawakilishi na si ushabiki wa kijinga.
 
ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, analalamikiwa na Wananchi wa Mtaa wa Nyanguku na Lukobe uliopo katika Kata ya Kahama kwa kushindwa kuwasaidia kulipwa fidia za ardhi yao, anaandika Moses Mseti.

Wananchi hao wapatao 6000, wanamlalamikia mbunge huyo kutokana na maeneo yao yenye ukubwa wa zaidi ya hekta saba kuchukuliwa na Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mkoani humo bila fidia.

Akizungumza hivi karibuni, katika kikao cha kujadili kuhusu kuchukuliwa maeneo yao, Paulo Lameck, Mwenyekiti wa Mtaa wa Lukobe amesema kuwa, malalamiko na lawama zote wanamtupia Mabula kwa kushindwa kuwasaidia.

Lameck amesema kuwa, wanamtupia lawama mbunge huyo kutokana na kushindwa kuwasaidia, kuzungumza na wahusika wanaodaiwa kuchukua maeneo hayo kitendo ambacho kimesababisha waendelee kuishi kama wakimbizi katika nchi yao.

“Tangu mwaka 1960 tunaishi hapa, Novemba 2006 ndio tuliambiwa kwamba tunapaswa kuondoka katika maeneo haya, kwa madai siyo ya kwetu, sasa nashangaa miaka yote hiyo babu na baba zetu wameishi hapa 2006 ndio tuhamishwe,” amesema Lameck.

Amesema, baada ya hali hiyo kuzidi kuwa tete kufuatia nyumba zao kubomolewa nyakati za usiku na watu wasiofahamika, Machi 2015 waliamua kwenda Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi kutoa kilio chao.

Lameck amesema, baada ya kutoa kilio hicho katika Wizara ya Ardhi, Juni mwaka 2015, watalaamu wa wizara hiyo walikwenda katika maeneo yao na kufanya tathmini lakini mpaka sasa bado hawafahamu hatma yao.

“Machi 2016 tulikwenda kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, (Manju Msambya) lakini na yeye hakuweza kutusaidia na baada ya kuona hatupati msaada, tukaandika barua kwenda kwa Waziri wa Ardhi (William Lukuvi) na mpaka sasa hakuna majibu,” amesema Lameck.

Benard Mkina, Diwani wa Kata ya Kahama, amesema kuwa, wananchi wake wanateseka na kwamba wengine wamepoteza maisha kutokana na kunyang`anywa maeneo yao na kuwa, watu waliyoyachukua kwa sasa wanachimba mchanga na kuuza.

Mabula ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi alipotafutwa na mtandao huu kupitia simu yake ya mkononi kuzungumzia malalamiko hayo, alijibu “nipo kwenye kikao na kukata simu.”

Kheri James, Katibu wa mbunge alikiri kuwepo kwa suala hilo huku akiwatupia lawama John Wanga, Mkurugenzi wa Ilemela na Manju Msambya, aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao.

“Hilo suala tunalifahamu na sisi kama ofisi ya mbunge tuliishalifuatilia na mamlaka husika waliahidi kulifanyia kazi.

“… lakini mkurugenzi (John Wanga) na watu wake wanameshindwa kufanya majukumu yao wanataka sisi tuyafanye,” amesema James.

Wananchi wanatakiwa kuwa reasonable. Yaani mashamba yao yachukuliwe na Serikali waliyoipigia kura nyingi mwaka jana (tena imeyachukua bila malipo, yaani Burrheee!) kisha wao waanze kumlalamikia Mbunge?? hiyo ni akili matope....
 
Mbuzi kafia kwa muuza supu,mgogoro wa Ardhi,waziri wa Ardhi ni mbunge wa ilemela.
Acha mkome
 
Huyu mama hana impact kabisa wananchi wa Ilemela watalia sana wizara ya ardi bora kawa naibu waziri mana Lukuvi ndo anamfanya nae aonekane japo kwa mbali
 
wkt mwingine hamstahili kuonewa huruma KBS...watafuteni viongoz wa ccm kuanzia ngazi ya ubalozi watatoa msaada.mliambiwa mumchague msukuma mwenzenu sio?
 
Naona katibu wa mbunge naye mpayukaji tu....badala awasiliane na mbunge,apewe maelekezo,aende kwa mkurugenzi,arudi na jibu,yeye anapanua domo lake pana kama masaburi,hajui anaweza kuteleza siku moja ikawa shidaa.
 
Ngoja niongee kilugha kama baba Jesca aongeapo na watanzania , "Ndamko Ndalo Biswalo..... Ndendya Atukuzwe".
 
samahani mbunge wenu yuko kwenye harusi ya Masanja Mkandamizaji akitoka kwenye sherehe nitamwambia.Pole wanaIlemela kwa kuchangua pumba mkaacha mchele
 
Back
Top Bottom