GE2025 Wananchi wakiwasha baada ya majina kurudi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,131
Wananchi wa Kata ya Shambalayi Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameandana hadi ofisi ya chama cha mapinduzi (CCM) Kupinga uamuzi wa majina yaliyo rudi kuwa hawayahitaji na badala yake majina wanayo yahitaji hayajarudi.

Wananchi hao wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati kwa kueleza kuwa viongozi waliyo ngazi ya chini wanaweza kumkosesha kura ingawa wao kama wananchama na wananchi wakonae sambamba kwa mitano tena.

Vijijini wabunge wakiwa wapo vizuri na wananchi wanawasaidia sana wananchi kwa mambo mengi ya ardhi na mifugo mtu ukiwa mjini hauwezi kujua kazi za wabunge waliopo vijijini.
 
Africa bado Sana yaani wananchi wanachanganyikiwa hivyo na kujichafua mavumbi kisa kumtafutia mtu kazi(pesa)
Mzee Nyerere aliposema maadui zetu Ujinga,Maradhi na Umasikini yule mzee alikua Genius tumeshindwa kabisa kupambana navyo hayo ni matokeo ya hao maadui

Wanakuletea njaa kwanza, halafu hawakupi Elimu wanamalizia na huduma duni za afya wanakumaliza kabisa unacheza na huo mduara hadi unaingia kaburini

No reform No Election
 
Hahaha🤣🤣
Fomu ya mgombea pendwa imefutiwa kamasi, wapendwa wake wamekuja juu😇😇 siasa zetu ngumu mno.
 
Wananchi wa Kata ya Shambalayi Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameandana hadi ofisi ya chama cha mapinduzi (CCM) Kupinga uamuzi wa majina yaliyo rudi kuwa hawayahitaji na badala yake majina wanayo yahitaji hayajarudi.

Wananchi hao wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati kwa kueleza kuwa viongozi waliyo ngazi ya chini wanaweza kumkosesha kura ingawa wao kama wananchama na wananchi wakonae sambamba kwa mitano tena.

Warudishieni majina yao.Acheni ujanja ujanja.
 
Watamkosesha kura? Uchaguzi wote ushaibwa zamani, sasa hivi ni viini macho tu.
 
Back
Top Bottom