PreGE2025 Wananchi wafurika kufuatilia mkutano wa CHADEMA Arusha

PreGE2025 Wananchi wafurika kufuatilia mkutano wa CHADEMA Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wananchi wakiwa katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha leo Jumatano Mei 28, 2025.

IMG_4995.jpeg
Chama hicho leo kimeanza operesheni ya No reforms, no election katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara kunadi operesheni hiyo.

IMG_4996.jpeg


 
Gambo na Bashite wanagombania Jimbo lakini leo Nabii Lema alilopanda jukwaani wananchi wamelipuka kwa shangwe Lema anapendwa Arusha jamani...duuh!
 
Idadi hiyo ya watu siyo mafuriko hata mfereji haijafikia
 
Kesho utasikia wataalam wamebaini ghorofa lile linatitia upande kwakuwa lilijengwa chini ya viwango hivyo libomolewe haraka kulinda usalama wa watu
,
SmartSelect_20250528_192651_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom