Wananchi wafunga barabara ya morogoro baada ya gari kuuwa mwanafunzi

Wananchi wafunga barabara ya morogoro baada ya gari kuuwa mwanafunzi

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,197
Reaction score
11,628
Imetuchukuwa takribani dak 45 kuweza kupita maeneo ya kwa mathias baada ya wananchi kufunga barabara baada ya gari moja kumgonga mwanafunzi na kufafa papo hapo

Tukio hilo limetokea majira ya saa 7 mchana lilileta usumbufu kwa kiasi fulani lilizimwa na polisi waliofika hapo na defender wakiwa na silaha,
 
Back
Top Bottom