Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,761
Wewe ni SUKUMA Gang?Nipo mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.
Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.
Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?
Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Bro wewe ni SUKUMA gang au?Yule ajuza wa chadema digital
Mleta mada acha porojo, Mbeya leo ni nyomi la kufa mtu. Ushahidi wa picha huu hapaNipo mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.
Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.
Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?
Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Hii ndio kazi iliyokufanya ukajiunga jf?Wewe ni SUKUMA Gang?
Aibu hiiMleta mada acha porojo, Mbeya leo ni nyomi la kufa mtu. Ushahidi wa picha huu hapa
Zee la kulinda legacy 🤣🤣🤣, hbr za chattle!!Yule ajuza wa chadema digital
Utakua mchawi maana kila mahali upo!! Kuanzia sumbawanga hadi Mbeya kote upo? Halafu why huwa unakimbia nyuzi?Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.
Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.
Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?
Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Kuna sehemu sirihusiwi kwenda?Utakua mchawi maana kila mahali upo!! Kuanzia sumbawanga hadi Mbeya kote upo? Halafu why huwa unakimbia nyuzi?
Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.
Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.
Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?
Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Kazi kubwa ipi ya Tulia? Kazi gani anaifanya Tulia mbeya zaidi ya kuzunguka msibani?. Nilishawaambia Mbeya wanahitaji 4 way kuanzia igawa mpaka songwe airpot kwa uchache. Na barabara ya maloli peke yake kule itua. Inaweza kuanzia mlima nyoka mpaka mbalizi . Hapo ndio kazi unaweza kusema kazi kubwa ya mbeya na wanambeya wakakuelewaNipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.
Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.
Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?
Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Kipofu anaposema ameshuhudia kwa macho yake, ujue sasa anaenda kwenye ulemavu wa akili.Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.
Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.
Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?
Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Huyu sidhani kama tatizo lake ni kuongea uwongo, ana tatizo kubwa zaidi la kukosa hata ile akili ya kawaida.Huchoki kuongea uongo?
Na unaongea uongo kwa faida ipi hivi?