Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,195
Wananchi wa jimbo la Bukoba Mjini wamekasirishwa kwa kitendo cha Serikali ya CCM kukataa kuonyesha Bunge live,Kutokana na kadhia hiyo jana, Wananchi hawo wakiwamo Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wapatao 120 Waliamua kurejesha kadi zao Chadema mbele ya Mbunge wa jimbo hilo Pamoja na Mwenyekiti Wa Bavicha Taifa.
UMMA UMEONA NAMNA WANAVYOPOKWA HAKI ZAO ZA MSINGI, KUENDELEA KUISHABIKIA CCM NI KUENDELEA KULIANGAMIZA TAIFA..