Wananchi wa Chato wajitokeza kwa wingi kumlaki Rais Dkt John Pombe Magufuli

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
20160329053438.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo.
20160329045635%2B%25281%2529.jpg

Wakazi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa Geita,wakiwa wamekusanyika kwa wingi wakisubiri kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambaye amewasili leo mjini humo alikozaliwa.Rais Dkt Magufuli anawasili wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu awe Rais.
20160329045635.jpg

20160329045639.jpg

Wanannchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea mtoto wa nyumbani kwao Chato,Mh Rais Dkt.John Pombe Magufuli viwanja vya Mjini Chato mkoani Geita muda huu. Hii ni mara ya kwanza kufika chato tangu awe Rais.

Chanzo: Michuzi
 
kama kwao wamemkataa namna hii basi anakazi kubwa utafikili mkutano wa diwani ameitisha kwenye kata maze inabidi akaze buti ndugu zake waone matunda
 
Nachukia sana watu wanakwenda kupokea rais wa Tanzania halafu wanaenda na mit-shirt na mikofia ya chama
 
kama kwao wamemkataa namna hii basi anakazi kubwa utafikili mkutano wa diwani ameitisha kwenye kata maze inabidi akaze buti ndugu zake waone matunda
Ulitaka wapandiane juu ya vichwa ama, maana sidhani kama umeona eneo lenyewe lililofanyiwa mkutano
 
Ulitaka wapandiane juu ya vichwa ama, maana sidhani kama umeona eneo lenyewe lililofanyiwa mkutano
ha ha hapo ndio ningejuwa kweli kwao bado wamempokea lakini kwa watu hao wana chato wanajuta kuchagua mtu anayeleta njaa kwenye kaya umati hauna kishindo kabisa
 
kama kwao wamemkataa namna hii basi anakazi kubwa utafikili mkutano wa diwani ameitisha kwenye kata maze inabidi akaze buti ndugu zake waone matunda

mkuu unataka kusema watanzania wamekuwa vipofu namna hii kiasi cha kushindwa kuona miujiza raisi JPM anayofanya??
 
Back
Top Bottom