GE2025 Wananchi: Tutahamasishana kumchagua rais Samia

GE2025 Wananchi: Tutahamasishana kumchagua rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,456
Reaction score
5,290
Wananchi huko mtaani wanapeana nondo za kwenda kumchagua Rais Samia itakapofika Oktoba 29, hamasa kwa kila mwananchi si kwa ajili ya Uchaguzi tena bali ni kwa ajili Rais Samia yumo kwenye sanduku la kura......watamchagua yeye.

 
IMG-20250811-WA0038.jpg
 
Eti wananchi! Sema chawa wote tutahamasishana....
 
Back
Top Bottom