Mosachaoghoko
Senior Member
- Apr 19, 2011
- 137
- 10
kwakuwa sasa imekuwa ni system napendekeza na wananchi kuwa na mgomo usiokuwa na kikomo mpaka pale huduma muhimu za kibinadamu zitakapoboreshwa na kuturithisha ambazo ni sekta ya afya kila sehemu na kuwepo na vifaa tiba,huduma za uhakika za kupata nishati ya umeme kwa ajili ya matumizi yetu ,kupungua kwa mfumuko mkubwa wa bei ya kila kitu ambapo hata mwananchi wa kawaida ataweza kuyamudu mahitaji yake ya muhimu,tuboreshewe miundo mbinu yetu ya barabara na reli ambayo ndo tegemeo la kila mtu kwa nafasi yake na mengine mengi