Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Wananchi wa kata ya Terati Arusha wamefunga barabara kwa ajili ya kumkataa Mgombea Udiwani ambaye ameteuliwa na kamati ya Kata CCM.
Vikao vya Kamati za siasa za Wilaya ndo vinakaa leo kwa ajili ya kujadili na kutoa mapendekezo yao kwa kamati za siasa za mikoa.Wananchi wa kata ya Terati Arusha wamefunga barabara kwa ajili ya kumkataa Mgombea Udiwani ambaye ameteuliwa na kamati ya Kata CCM.