Maikara
Member
- Sep 5, 2018
- 9
- 4
Kuna malalamiko haya yasifumbiwe macho.
Wananchi wa kijiji cha kebweye wanadhulumiwa ardhi yao, na hili limefanyika tangu 1980 wakati kwa makusudi kabisa mkuu wa wilaya ya Tarime na hata mkuu wa mkoa walipoamua kulifumbia macho hadi sasa limekuwa donda lisilotibika.
Hadi nnapoandika mkasa huu wananchi hao hawana wa kuwasikiliza kuanzia mkuu wa wilaya aliyepo sasa hadi kamanda wa kanda maalumu Tarime/ Rorya.
Tunaomba rais amwagize waziri wa ardhi alishighlikie, tumechoka kunyanyasika juu ya haki yetu.
Mbunge nae amekuwa mwiba!