Huyu bwana wa sasa tuliambiwa kuwa ni mpango wa mungu. Na huyu naye ni mpango wa mungu? Kweli mungu hatupendi watanzania.
Watoto wanashindwa kwenda shule wakati mkuu wa kaya yuko busy kutafuta ambulance za dola 6000 @ kwa kisingizio cha kuaga. Dola imefika 2300 hakuna anayeshituka.