Wananchi Songea: Lowassa ni mpango wa Mungu...

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,535
Reaction score
20,730
Yaaani huku ni shidaaaaaa....!!! picha zinakujaaa... stay tuned hapa hapaa...!!

Ni utitiriiii, tsunamiiiii... Songea lol
 
Yaaani huku ni shidaaaaaa....!!! picha zinakujaaa... stay tuned hapa hapaa...!!

Ni utitiriiii, tsunamiiiii... Songea lol

Crazy thinking!!!! Nafikiri kwa mtindo huu wa kufikiri kweli Tanzania hana haja ya kuwa na rais mwenye maadili bali ni mtu yeyote asiyekuwa na busara wala vision maana akiingia rais mwenye vision na maadili hatoweza kuendana wa wanachi wasiojua hili wala lile
 
Nakukubali sana Mr president. Mafuriko hayazuiliwi kwa mikono. Ukikasirika kula chupa ukufe
 
Yaaani huku ni shidaaaaaa....!!! picha zinakujaaa... stay tuned hapa hapaa...!!

Ni utitiriiii, tsunamiiiii... Songea lol

Mungu hafungamani na ufisadi.Usilitaje jina Mungu bure ni dhambi kubwa sana
 
Yaaani huku ni shidaaaaaa....!!! picha zinakujaaa... stay tuned hapa hapaa...!!

Ni utitiriiii, tsunamiiiii... Songea lol
Unasafiri na Fisadi Lwasa mikoani au uko ktk mikoa yote ya Tz??
Njaa itakuua wewe!!
Mbona nasikia huo "utitiri" walikuwa wanamrushia visoda na mawe??
 
Nyando acha hizo wananchi gani kwani umepewa sh ngapi uwasemee? Wewe ni fisadi team
 
Huo mkoa ni pori hata watu hawanaga la kufanya zaidi ya kushangaaa
 
...mungu yupi maana hata ng'ombe ni mungu wa wahindi, lbda ni mpango wa huyu mungu ng'ombe na sio Jehooovaaaa ninaye muabudu mimi....
 
Kila mwanachama anayemdhamini anapewa 30,000 kwanini asipate utitiri wa watu, watu wanatoka vijijini wanaitwa Kuja kumdhamini, ili aonekane anaungwa mkono na wanachama wengi wa CCM .

Rushwa nje nje na bahati mbaya TAKUKURU ilishakufa siku nyingi watoa rushwa wanatamba.
 
Hakika nimeanza kuamini Lowasa ni mpango wa Allah

Ni kweli, ni mpango wa Allah siyo Mungu, maana Allah ni mungu wa kiarabu ila Mungu wa ulimwengu wote anatafsirika kwa Lugha zote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…