GE2025 Wananchi Same wampongeza Samia kusikiliza wanyonge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
858
Reaction score
1,655
Your browser is not able to display this video.

Wananchi wilayani Same mkoani Kilimanjaro wameonesha imani yao kwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan wakieleza kuwa watampatia ushindi wa kishindo. - Wakizungumza leo Septemba 30 kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wilayani Same Wananchi hao wamesema ,Dk Samia ametimiza mengi aliyoahidi hivyo haowaoni sababu ya kumnyima kura kwenye uchaguzi mkuu ujao.​
 
Wapare katika ubora wao wakiongozwa na kina Mchome.
Mchome......jina la ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…