Mtu na akili zate anaweza kumlilia wasira eti atatue kerozzake? Kweli kuna mikoa watz wamelala usingizi wa pono huko wakiendelea kuwa na twgemeo lililokufa Yaani ccm
wanamlilia wassira kwani kafa, tujuzeni wadau hali ya huyu m'babu
CDM naona mko moto sana kwa matusi! Hivi mnategemea kuongoza nchi mkiwa na hulka kama hizi? Jifunzeni kuwa wastarabu.
Wasira ni hata kwa umri ni kama baba au babu yako si mtu wa kusemea vibaya, bila shaka ungebahatika kuwa na ujasiri, uelewa na ufahamu wa nchi yetu kama wasira basi hata mbingu zingekuita.
Bunda pia watu wanauawa wanataka makala aje awape maji baada ya Wassira kushindwa
Wananchi wa wilaya ya Mvomero leo wamefikisha rasmi maombi yao kwa mh. Stephen masato Wassira wakimuomba awasaidie kusuluhisha migogoro ya wakulima na wafugaji inayojitokeza mara kwa mara.
Aidha wananchi hao walisikika ktk mazungumzo na mkuu wao wa wilaya Anthony Mtaka kuwa wana imani na mzee Wassira kuwa atakuja kumaliza chokochoko zote baina yao kwani aliweza kumaliza mgogoro wa kuchinja huko Geita baina ya waislam na wakristo hivyo basi hilo limewajengea imani kuwa ana uwezo mkubwa wa kusolve mambo kwa njia ya amani.
Lakini pia wananchi hao walizIdI kuonesha shauku ya kumtaka asibadili nia yake ya kugombea urais kwani ni mtu wa haki na amani siku zote.
Mtu na akili zate anaweza kumlilia wasira eti atatue kerozzake? Kweli kuna mikoa watz wamelala usingizi wa pono huko wakiendelea kuwa na twgemeo lililokufa Yaani ccm
wanamlilia wassira kwani kafa, tujuzeni wadau hali ya huyu m'babu
Mtu na akili zate anaweza kumlilia wasira eti atatue kerozzake? Kweli kuna mikoa watz wamelala usingizi wa pono huko wakiendelea kuwa na twgemeo lililokufa Yaani ccm
Acha kutoa povu wewe umeona hilo ndo swali?
povu kwani mi sabuni? tumia akili kufikiri au ulifeli la saba
URAIS sio urembo tatizo Watanzania Wengi wanafikiri kwa mawazo mbenuko WASIRA NI MTU ANAEFAA KUWA KIONGOZI WA KUIGWA CHUKI HAZITAWAPELEKA POPOTEWananchi wa wilaya ya Mvomero leo wamefikisha rasmi maombi yao kwa mh. Stephen masato Wassira wakimuomba awasaidie kusuluhisha migogoro ya wakulima na wafugaji inayojitokeza mara kwa mara.