Wananchi Mvomero wamlilia Wassira

Wananchi Mvomero wamlilia Wassira

free gage

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
76
Reaction score
6
Wananchi wa wilaya ya Mvomero leo wamefikisha rasmi maombi yao kwa mh. Stephen masato Wassira wakimuomba awasaidie kusuluhisha migogoro ya wakulima na wafugaji inayojitokeza mara kwa mara.

Aidha wananchi hao walisikika ktk mazungumzo na mkuu wao wa wilaya Anthony Mtaka kuwa wana imani na mzee Wassira kuwa atakuja kumaliza chokochoko zote baina yao kwani aliweza kumaliza mgogoro wa kuchinja huko Geita baina ya waislam na wakristo hivyo basi hilo limewajengea imani kuwa ana uwezo mkubwa wa kusolve mambo kwa njia ya amani.

Lakini pia wananchi hao walizIdI kuonesha shauku ya kumtaka asibadili nia yake ya kugombea urais kwani ni mtu wa haki na amani siku zote.
 
Mtu na akili zate anaweza kumlilia wasira eti atatue kerozzake? Kweli kuna mikoa watz wamelala usingizi wa pono huko wakiendelea kuwa na twgemeo lililokufa Yaani ccm
 
Mtu na akili zake anaweza kumlilia Mbowe au Slaa eti watatue kero zake? Kweli kuna majitu hayajielewa sbb minds zao zipo corrupted tayari. Huwezi kuishi kwa tegemeo lililokufa yaani Chadema.
 
wanamlilia wassira kwani kafa, tujuzeni wadau hali ya huyu m'babu
 
CDM naona mko moto sana kwa matusi! Hivi mnategemea kuongoza nchi mkiwa na hulka kama hizi? Jifunzeni kuwa wastarabu.

Wasira ni hata kwa umri ni kama baba au babu yako si mtu wa kusemea vibaya, bila shaka ungebahatika kuwa na ujasiri, uelewa na ufahamu wa nchi yetu kama wasira basi hata mbingu zingekuita.
 
kinachokusumbua mkuu ni kwamba uko adicted sana na chama chako kiasi kwamba mnajaribu kuulazimisha umma kuwaamini viongozi wenu dhalimu. It is too late tena ni bora unyamaze kwa sbb hamtapata kile mnachokitarajia kwa sasa. Kila sehemu mnakataliwa hamkubaliki tena, hatuwezi kuwaacha hata kdg mtuletee pumba za kuwakubali maharamia vinginevyo labda na wewe ni mmoja wao ndo mana moyo unakuuma na kujinasibu kwa kunihubiria kwa nn usianze kumhubiria wassira aliyehusika kuchakachua maoni ya wananchi. Tumemkataa sema lingine
 
Wasira nani amtake kumaliza mgogoro mvomero? Kwake tu kashindwa kuongoza jimbo na mleta uzi ni dc wa mvomero ambaye ni mpigadebe wake. Alisimamia harusi ya dc kama baba na sasa anataka kutushawishi wasira aje mvomero. Usitufanye sisi wajinga kazi ya ulinzi na usalama mwenyekiti wake ni mkuu wa wilaya kwasababu ya mapungufu na mizaha yake aliishiwa kupopolewa mawe.
 
Bunda pia watu wanauawa wanataka makala aje awape maji baada ya Wassira kushindwa

WASIRA NI MASHINE NYINGINE,NDIO MAANA HUWEZI MSIKIA NA MAISHU YA KULIUA TAIFA ZAIDI YA ZILE ZA KULINUSURU TAIFA,,,,,kumbuka GEITA MGOGORO WA KUCHINJA.
 
Wananchi wa wilaya ya Mvomero leo wamefikisha rasmi maombi yao kwa mh. Stephen masato Wassira wakimuomba awasaidie kusuluhisha migogoro ya wakulima na wafugaji inayojitokeza mara kwa mara.

Aidha wananchi hao walisikika ktk mazungumzo na mkuu wao wa wilaya Anthony Mtaka kuwa wana imani na mzee Wassira kuwa atakuja kumaliza chokochoko zote baina yao kwani aliweza kumaliza mgogoro wa kuchinja huko Geita baina ya waislam na wakristo hivyo basi hilo limewajengea imani kuwa ana uwezo mkubwa wa kusolve mambo kwa njia ya amani.

Lakini pia wananchi hao walizIdI kuonesha shauku ya kumtaka asibadili nia yake ya kugombea urais kwani ni mtu wa haki na amani siku zote.

Wanamuonaga kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV nini?
 
Mtu na akili zate anaweza kumlilia wasira eti atatue kerozzake? Kweli kuna mikoa watz wamelala usingizi wa pono huko wakiendelea kuwa na twgemeo lililokufa Yaani ccm

Kwa hiyo ulitaka wamlilie nani Mbowe au? tulia dawa ikuingie na usiweweseke.
 
Mtu na akili zate anaweza kumlilia wasira eti atatue kerozzake? Kweli kuna mikoa watz wamelala usingizi wa pono huko wakiendelea kuwa na twgemeo lililokufa Yaani ccm

Mkuu promo hizi wanapigiana.. Unajua so far hapa tunaona #teammembe & #teamlowassa wakitamba humu JF huku #teamgaidi ikijikongoja kwa mbali.. Sasa nae anajitosa kupambana..
 
Wananchi wa wilaya ya Mvomero leo wamefikisha rasmi maombi yao kwa mh. Stephen masato Wassira wakimuomba awasaidie kusuluhisha migogoro ya wakulima na wafugaji inayojitokeza mara kwa mara.

Aidha wananchi hao walisikika ktk mazungumzo na mkuu wao wa wilaya Anthony Mtaka kuwa wana imani na mzee Wassira kuwa atakuja kumaliza chokochoko zote baina yao kwani aliweza kumaliza mgogoro wa kuchinja huko Geita baina ya waislam na wakristo hivyo basi hilo limewajengea imani kuwa ana uwezo mkubwa wa kusolve mambo kwa njia ya amani.

Lakini pia wananchi hao walizIdI kuonesha shauku ya kumtaka asibadili nia yake ya kugombea urais kwani ni mtu wa haki na amani siku zote.
URAIS sio urembo tatizo Watanzania Wengi wanafikiri kwa mawazo mbenuko WASIRA NI MTU ANAEFAA KUWA KIONGOZI WA KUIGWA CHUKI HAZITAWAPELEKA POPOTE
 
Back
Top Bottom