Wananchi msije mkafanya hivi tafadhali

mkuu siyo kwa police wa kwetu ambavyo wamepania utafikiri kuna nn sijui siku hiyo
 
Hawa polisi wetu wananyang'anywa silaha na wanauwawa kirahisi tu! Wajiangalie wenyewe kwanza kabla ya kujitutumua
 
Polisi hua ni bunduki tu..!
Bila hivyo nae unaweza pewa kichapo
 
Ati ana gala gala kwa pavement huku anaomba excuse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…