Hofu kubwa imetanda kwa wananchi wa Kijiji cha Mbatakero,Wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji haswa Mwenyekiti aitwaye IVOCAVIT SWAI,ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo hili.Mazao ya Wakulima yanavamiwa na mifugo,wanapigwa,wanajeruhiwa lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.
Siku za hivi karibuni,mifugo imekuwa ikivamia na kuharibu mazao ya wakulima, na pale wananchi hawa wanapochukua hatua za kwen Mbuzi, lakini huyu mama alimwambia hataki hata kumwona nyumbani kwake, na anadhamiria kurudi polisi kufuatilia shauri lake.Ndipo huyu SIOO (Mlimili wa mifugo) alipomwambia hata akienda huko hatapata haki yake kwa kuwa tayari huyu SIOO keshaziba njia zote.
K kuvamiwa na makundi makubwa ya mifugo hii na kuharib shamba la Bwana mmoja aitwaye Tadei,ikala majani ya mahindi na mahindi kwa pamoja.Huyu Bwana alipopewa taarifa,akamchukua Mwenyekiti wa Kitongoji(Sudi) na kwenda kuokoa mali yake.Alipofika, hawa vijana walimshambulia yeye,mwenyekiti wa kitongoji(Sudi) na dada yake Tadei aitwaye Yohana hadi kupelekea majeraha makubwa.Tadei na Yohana walikimbizwa hospitali ya Wilaya ya Hai na kupatiwa matibabu,lakini Yohana alikuwa ameumizwa sana kicwani na kenye mbavu kiasi cha kupelekea kushonwa na kulazwa hositalini hapo hadi tarehe 15/08/2025.
Tadei mwenye namba za simu 0716 851 885 na ndugu zake wengine walitoa taarifa kituo cha polisi Bomang'ombe na wakapewa RB No. BOM/RB/2711/2025 (Shambulio la Mwili) na BOM/RB/2720/2025 (Kuharibu Mali).Mpelelezi wa kesi hii alikuwa afande Rashid wa kituoni hapo.Huyu mpelelezi akaomba Tadei na wengineo washirikiane naye ili kuwatambua na kuwakamata watuhumiwa.
Hawa ndugu wakarudi kijijini(umbali wa km 25) kutoka kituoni,wakalazimika kupita kwa uongozi wa Kitongoji ili kupata taarifa zitakazoweza kusadia wahalifu kukamatwa.Mwenyekiti wa Kitongoji akakiri wazi kuwa anawafahamu vijana waliovamia na kujeruhi kwa sababu anawaona, na anamfahamu mmiliki wa hiyo mifug.o, na kwamba wakati hizo vurugu zinatokea alimpigia mwenyekliti wa kijiji kumjulisha hali hiyo,lakini mwenyekiti akasema kwa kuwa mifugo imeshajulikana mwenyewe isizuiwe,aichwe iende.Ikawalazimu hawa ndugu waongozane na Mwenyekiti wa kitongoji kwenda kuomba ushirikiano kwa Mwenyekiti wa Kijiji ndugu IVOCAVIT SWAI mwenye namna 0674 506 691.
Kufika nyumbani kwa Mwenyekiti wakamweleza kuhusu hali iliyotokea na majeruhi waliopo hospitali, na kumuomba mwenyekiti huyo wa kijiji atoe ushirikiano utakaopelekea wahalifu kukamatwa.Cha kustaajabu huyu Mwenyekiti alipiga simu kituo cha Polisi Bomang'ombe na kusema amevamiwa na ndugu wa wale majeruhi wa mchana,hivyo anahitaji msaada wa haraka.Mmoja wa ndugu hao naye akampigia simu mpelelezi afande Rashid na kumweleza hali hiyo,afande akashauri hao ndugu waondoke wakapumzike,huyo mwenyekiti ataiwa kituoni.
Baada ya hapo hadi naandika malalamiko haya,hakuna mtuhumiwa yeyote aliyekamatwa wala kuhojiwa na jeshi la polisi Bomang'ombe, Tadei amekuwa akienda kituoni kila siku kuulizia hatua zilizochukuliwa lakini hakuna jibu la maana alilopewa.Ni maajabu kuwa, Huyo mmiliki wa hiyo mifugo (SIOO) alienda kituoni jumanne tarehe 12/08/2025,akaonana na vigogo wa hapo na akaondoka bila kuhojiwa,wala kukamatwa ili awapeleke vijana wake wawili waliojeruhi na kuharibu mali.
Taarifa zinaelezaa kuwa, Mwenyekiti wa kijiji (IVOCAVIT) alifanya jitihada za kumjulisha SIOO siku hiyo ya uharibifu usiku akahamisha mifugo yake kwenye Boma alilokuwa anawalaza na kuhamishia sehemu nyingine ili kuudhoofisha Bomang'ombe.Wanaomba uongozi uisikie sauti yao sababu wanahasira dhidi ya wanaowafanyiwa maovu na hawachukuliwi hatua.
Jana tarehe 15/08/2025 mifugo hiyo hiyo ya Bwana SIOO imevamia tena shamba la mpunga la mkulima mdogo kwenye kitongoji cha Kinamiri, vijana hao hao waliumiza na kujeruhi watu wiki hata haijaisha,wamejeruhi wengine na kumtukana vibaya Mwenyekiti wa Kitongoji aitwaye Damas.Hii ndiyo kiburi ya rushwa,haya ndiyo madhila wanayofanyiwa wananchi wa Kijiji hiki cha Mbatakero kilichopo wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro umbali wa Km.20 tu kutoka ilipo ofisi ya mkuu wa wilaya, Km 6 pekee kutoka eneo la Kwasadala.
Wananchi wanaogopa kutoka taarifa kituo cha Polisi Bomang'ombe kwa sababu hawapati msaada woeote wa maana,tena wengi wao wanasema kabisa huyu bwana (SIOO) ukimpeleka polisi unapoteza muda wako bure na hela, hivyo wengi wamebaki na maumivu mioyoni,wanajipanga kujitetea.
Serikali yote ya kijiji ni ya Chama cha Mapinduzi, hadi sasa hakuna hatua zozote ambazo zimechukuliwa na chama kunusuru hali hii,Mwenyekiti Sudi alivamiwa,akapigwa,akaumizwa na mazao yake yakaharibiwa,hakuna hatua zozote srikali ya kijiji imechukua,wala chama. Badala yake huyo Mwenyekiti wa kijiji ameanza kampeni za kuzikataa baadhi ya familia zinazokataa maovu kuwa sio sehemu ya kijiji chake.Anawapiga vita na anaapa ya kuwa hizo familia atazifukuza kwenye kijiji chake.Sijui ametumwa na serikali ipi.Kuna wazee hapo aliwakuta alipotoka huko Machame na kuhamia kijiji hicho, hata alipokuwa upinzani(CHADEMA) wazee hawa walikuwa wanakitetea CCM kwa gharama za damu zao,leo hii amepokea rushwa(tuhuma) anataka kuwahamisha wazawa ili abaki na wageni waharibifu?
Hakuna kikao cha wananchi kimewahi kufanyika kuwakataa wananchi wenzao kwenye kijiji hicho,wala hakuna kikao ambacho kimewahi kuwakaribisha wageni wafugaji kwenye kijiji hicho.Ni ubabe umetamalakai kama vile wananchi hawa hawako Tanzania.