Wananchi 400 wavamia makazi na kuchoma nyumba

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
13166096_967713613326314_1137846488318916337_n.png


Wananchi zaidi ya 400 wa vijiji vya Geterere na Haydom wilayani Mbulu mkoani Manyara waliokuwa na hasira wamevamia nyumba mbili za wakazi wa kijiji cha Geterere na kuzibomoa.

Baada ya kuzibomoa waliziteketeza kwa moto nyumba hizo pamoja na samani zake kisha wakimpinga na kumlazimisha mkazi huyo kutii amri ya mahakama inayomtaka kubomoa makazi yake katika eneo la Josho alilokuwa akiishi kwa takribani miaka 10 kuondoka.
 
Back
Top Bottom