Mwana-G
Member
- Jan 9, 2016
- 45
- 15
Napata tabu sana kuijua mioyo ya wanadamu, mda mwingine naishia kucheka tu pale ninapoona mtu furani anaonewa kwa makusudi ili waone atafanya jambo gani....
Ivi katika hali ya kawaida nani anapaswa alaumiwe kwa mambo ya Zanzibar? Dr shein, kikwete au mzee wa Chato?
Mi kivyangu naamin mzee wa Chato hapaswi kulaumiwa ila dr shein ndo anapaswa kupewa lawama, kwasababu zanzibar wanarais wao wanakatiba yao wanatume yao sasa kunahaja ya kulaum mzee wetu hapo? Sisi tunajiita watanzania wao wa zanzibar (wamekana maagano) vip tumtwike? Tuache chuki kama lawama apewe shein kwasababu hata wakati Jecha anafta matokeo mzee wangu hakuwa na madaraka yoyote, shein ni Amiri jeshi zanzibar kitendo cha magufuri kuingilia mambo ya Zanzibar ni kuingilia dola la zanzibar ni kuvunja katiba ya Zanzibar why lawama apewe mzee wa Chato wengine wanafika mbali kulaum mpaka swala la mgogoro Burundi eti kwann yupo kimya wanafika wakifumba macho mchana wakiwa wamesmama ukiwashtua utaskia nililala ...... Jibu sijapata bado labda mpaka jua likibadili mkondo wake wa muelekeo