Wanamazingira Tz Bara kusajili chama

gidamulida

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
286
95
Wataalam wa Mazingira nchini wanakusudia kuanzisha chama kitakachoitwa Tanzania Environmental Proffessionals Association -TEPA.

Malengo makuu ni kulinda taaluma ya wanamazingira, kuwa na jukwaa huru la kujadili changamoto na masuala ya kimazingira, kutoa ushauri kwa masuala ya kimazingira ktk programme/ miradi ya maendeleo nchini.

Tuwapongeze kwa lengo hilo.
1466324213822.jpg
 
Back
Top Bottom