E Elai Senior Member Joined May 26, 2011 Posts 156 Reaction score 11 Jan 3, 2014 #1 Habari hii nimeikuta kwenye tovuti ya gazeti la Habari Leo.
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,714 Jan 3, 2014 #2 ndo nini sasa, mbona hueleweki?
TOFU JF-Expert Member Joined Aug 26, 2012 Posts 573 Reaction score 196 Jan 3, 2014 #3 Upo viroba kaka ...!??
R Ringtone JF-Expert Member Joined Nov 21, 2013 Posts 489 Reaction score 145 Jan 3, 2014 #4 Yesu kristo wa nazaret awe nao ktk kipindi kigumu wanachopitia. Hiyo ni kazi ya wale takatifu!
sirluta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 6,324 Reaction score 2,494 Jan 3, 2014 #5 Askari walitawanya vijana waliokuwa wakichoma matairi barabarani, hilo bomu litakuwa liliwekwa na wafuasi wa chadema kuwategea polisi.
Askari walitawanya vijana waliokuwa wakichoma matairi barabarani, hilo bomu litakuwa liliwekwa na wafuasi wa chadema kuwategea polisi.
S Slegaray Member Joined Dec 28, 2013 Posts 40 Reaction score 4 Jan 3, 2014 #6 Wahuni magamba waeneza udini uislam. Kwenye kwaya kuna muislam gani wakati kwa uzoefu magamba hutega mabomu makanisani na kusingizia cdm.
Wahuni magamba waeneza udini uislam. Kwenye kwaya kuna muislam gani wakati kwa uzoefu magamba hutega mabomu makanisani na kusingizia cdm.
J JOSEPH MALULU Member Joined Jan 2, 2014 Posts 77 Reaction score 9 Jan 3, 2014 #7 CHANZO CHA HABARI HII hakieleweki.unauhakika ndugu yangu?
S st.ignatues loyolo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 230 Reaction score 30 Jan 3, 2014 #8 heri ya mwaka mpya majeruhi Mungu yu pamoja ntafurahi kusikia mmepona wote.siasa za majitaka waachieni CCM na CDM.Maskofu nchini huu ni wakati wakupuuzi chochote kinachoitwa siasa kanisa liitwe kanisa.shame on you Kikwwete
heri ya mwaka mpya majeruhi Mungu yu pamoja ntafurahi kusikia mmepona wote.siasa za majitaka waachieni CCM na CDM.Maskofu nchini huu ni wakati wakupuuzi chochote kinachoitwa siasa kanisa liitwe kanisa.shame on you Kikwwete
E Elai Senior Member Joined May 26, 2011 Posts 156 Reaction score 11 Jan 3, 2014 Thread starter #9 Niliweka link(Habari Leo) kukupeleka kwenye habari.
E Elai Senior Member Joined May 26, 2011 Posts 156 Reaction score 11 Jan 3, 2014 Thread starter #10 JOSEPH MALULU said: CHANZO CHA HABARI HII hakieleweki.unauhakika ndugu yangu? Click to expand... Niliweka link(Habari Leo) kukupeleka kwenye habari na chanzo chake.
JOSEPH MALULU said: CHANZO CHA HABARI HII hakieleweki.unauhakika ndugu yangu? Click to expand... Niliweka link(Habari Leo) kukupeleka kwenye habari na chanzo chake.
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,360 Reaction score 2,388 Jan 3, 2014 #11 Nimeona taarifa ya habari ya saa 2 usiku Star TV majeruhi waliolazwa hospital wamesimulia tukio Swali langu hivi ukijeruhi au kuua mzazi/mke/mtoto kwenye rusha rusha bomu hizi utajisikia faraja?
Nimeona taarifa ya habari ya saa 2 usiku Star TV majeruhi waliolazwa hospital wamesimulia tukio Swali langu hivi ukijeruhi au kuua mzazi/mke/mtoto kwenye rusha rusha bomu hizi utajisikia faraja?
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,087 Reaction score 72,502 Jan 4, 2014 #12 Hapo utasikia ni waislamu!!!!
K Kikwajuni One JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 14,694 Reaction score 7,912 Jan 4, 2014 #13 Wameshajuwa kama ni wenyewe kwa wenyewe,huoni kimya
paulne Member Joined Dec 24, 2013 Posts 19 Reaction score 0 Jan 4, 2014 #14 kama ni kweli mchawi anataka kutuaribia solo LA utalii co mwenyej